Mining engineer

Mining engineer

Engager

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
1,522
Reaction score
3,255
Ndugu zangu wana jf, hebu tushauriane. Hivi ukiwa Mining engineer tofauti na mgodini kunasehem gani tena unaweza kuajiliwa? Coz kuna mdogo wangu amehtm f6 mwaka jana(PCM, matokeo mazuri ila hakuaply na anafanya hvyo mwaka huu). Anaonekana kupendele ksoma mining engineering. Mi nataka nimshauri aachane nayo maana naona kma hailipi kwa sasa. Nyinyi mnanishauri vipi? Tusaidiane jamani
 
Back
Top Bottom