MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Habari zenu wana JF, natumaini muu wazima wa afya! Ndugu zangun mm ni muhanga wa ajira, ninawaombeni kwa yeyote humu anaefahamu sehemu yenye ajira za Mining Engineering naombeni anijulishe. Nina Diploma in Mining Engineering na nshatuma ma-Cv ya kutosha lakn hali bado ni tete! Natanguliza shukrani!