MINING PROGRAMS ZA CRYPTOCURRENCIES

MINING PROGRAMS ZA CRYPTOCURRENCIES

Murtapha68

Member
Joined
Feb 20, 2022
Posts
58
Reaction score
40
Habary wakuu
Miaka ya nyuma kidogo nilikuta andiko la remitano network mining program ambayo ilikuwa inatoa renec coin nilishiriki hiyo japo sikuwa serious nilipata faida kidogo kuhusu hiyo program

Kwa saizi Kutokana na maendeleo ya teknolojia kuhusu cryptocurrencies Kuna mining nyingi ambazo watu wamefanya na kupata faida

Kwa saizi wamehamia adi kwenye telegram ambapo Kuna mining program zinaendelea huko na inaonekana nyingi kati ya hizo zitazinduliwa mwezi July kwa community wote walioshiriki
Mfano notcoin ilikuwa huko telegram miezi ya nyuma kidogo na baadae ilizinduliwa na watu walifaidaka huko

Zipo mining program za telegram zifuatazo

1 HAMSTER KOMBAT
ikiwa na watumaiaji zaidi ya million 150 imeweka rekodi katikat hii cryptocurrecy technology kwa kuwa na wafuasi wengi itashirikiana na tonkeeper (tonwallet ) huko ambapo ipo pia notcoin iliyofanyiwa mining kipind Cha nyuma

Link

2 BLUM
Watumaiaji Zaid ya million 30 na pia wahusika ni kutoka binance kwa wanaofaham binance nadhani wanajua ni kubwa kiasi gani

Link

t.me/BlumCryptoBot/app?startapp=ref_Jb8Yec7sMQ

3 TAPSWAP
Watumaiaji zaidi ya million 24
Link

TapSwap

Mwisho
Sijatoa ushawishi wa mtu kujiunga au financial advice fanya research yako pia na wew
Na hii watu wanafanya kwa sababu Haina hasara
Yeyote kwani hakuna Malipo yeyote kushiriki na faida yake ni kubwa ikiwa itazinduliwa na washiriki kupata gawio la coins zao

Tujaribu huwezi jua what next kwa watu waliowahi shiriki hizi program za mining na airdrop wanaelewa
 
Blum link
[emoji116][emoji116]
t.me/BlumCryptoBot/app?startapp=ref_Jb8Yec7sMQ
 
link hizo sio unataka upate mavuno baada yasisi kuzifungua..?? hayo mambo yanataka elimu yake alasivyo itakuwa katapotea!
 
Apana kama upo interested jaribu kwa sababu hakuna harasa yeyote lakn utaona faida yake apo badae ukiwa ni miongoni mwa wanufaika wa kupata coins
 
Wanted😇😉
 
Attachments

  • Screenshot_20240630-184916.jpg
    Screenshot_20240630-184916.jpg
    954 KB · Views: 14
Back
Top Bottom