Murtapha68
Member
- Feb 20, 2022
- 58
- 40
Habary wakuu
Miaka ya nyuma kidogo nilikuta andiko la remitano network mining program ambayo ilikuwa inatoa renec coin nilishiriki hiyo japo sikuwa serious nilipata faida kidogo kuhusu hiyo program
Kwa saizi Kutokana na maendeleo ya teknolojia kuhusu cryptocurrencies Kuna mining nyingi ambazo watu wamefanya na kupata faida
Kwa saizi wamehamia adi kwenye telegram ambapo Kuna mining program zinaendelea huko na inaonekana nyingi kati ya hizo zitazinduliwa mwezi July kwa community wote walioshiriki
Mfano notcoin ilikuwa huko telegram miezi ya nyuma kidogo na baadae ilizinduliwa na watu walifaidaka huko
Zipo mining program za telegram zifuatazo
1 HAMSTER KOMBAT
ikiwa na watumaiaji zaidi ya million 150 imeweka rekodi katikat hii cryptocurrecy technology kwa kuwa na wafuasi wengi itashirikiana na tonkeeper (tonwallet ) huko ambapo ipo pia notcoin iliyofanyiwa mining kipind Cha nyuma
Link
2 BLUM
Watumaiaji Zaid ya million 30 na pia wahusika ni kutoka binance kwa wanaofaham binance nadhani wanajua ni kubwa kiasi gani
Link
t.me/BlumCryptoBot/app?startapp=ref_Jb8Yec7sMQ
3 TAPSWAP
Watumaiaji zaidi ya million 24
Link
TapSwap
Mwisho
Sijatoa ushawishi wa mtu kujiunga au financial advice fanya research yako pia na wew
Na hii watu wanafanya kwa sababu Haina hasara
Yeyote kwani hakuna Malipo yeyote kushiriki na faida yake ni kubwa ikiwa itazinduliwa na washiriki kupata gawio la coins zao
Tujaribu huwezi jua what next kwa watu waliowahi shiriki hizi program za mining na airdrop wanaelewa