MINING (Special thread) MAMAINA/MATX TUKUTANE HAPA TUPEANE MACHAKA/MICHONGO. HUKO ULIKO VIPI!?

Kulikuwa na mamafia kitambo hicho maapolo nao wanazamia kinyama!mitobozano kwa sunda hadi kwa mwarabu.mkaburu anatembea mabunduki akikuona unazagazagaa anakupasua kichwa.geti la serikali pia kuna whitegate pale yaani enzi hizo tupo huko ilikuwa raha sana.mmepiga mawe mkiuza mjini kila mtu ana pasu yake hapo mil50 hadi 100.yale maisha hakuna tena daahh manta zikipasua ilikuwa balaa!kuomba kazi pale ilikuwa hadi upate lazma umehonga zaid ya mil50 watu walikuwa wanauza majumba wapate kazi samax(tz1).watu walikuwa na kufuru wakipata ela mtu anaosha m**o kwa bia acha tu!watu walikuwa wanaenda sauz kula bata kila wiki booking za kutosha KIA.watu wanatom*a anga tu.enzi kaburu anavuna magunia ya mawe wakati mwingine viroba vinaisha wanaenda kubeba makabati yao ya nguo kujaza mawe!hapo walinzi masupavaiza ni wanepal.walitolewa india huko hawajui hata kuiba walivyokutana na wabongo mbona waliiba!hawakuogopa tena hukumu ya kuiba kule kwao ni kifo.zile enzi watu walifaidi sana kuna huyu jamaa alivunja mil800.jamaa alienda kuoa london asee afu honeymoon brazil na russia.sasahivi anagongea sigara mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…