Ministry of East African Community and Northern Corridor Development

Jaribu kusoma benefits of transit trade to the Tanzanian economy. Road tolls sio the only way of benefiting from it.
 
Tanga ishachelewa Mombasa and Lamu are currently running the Greater Lakes Region. Fanya hivi Mfipa... Deal with this menace Ripoti ya WEF: Tanzania ina umaskini wa 79%, hii sisikii serikali ikisema zaidi ya kusema Uchumi Shirikishi
 
Mimi ndo maana namkubali Magu. Hakuna sababu yakuwa soft nahawa Manyangau. Kanyaga twende style
Kwa faida ya nani? Yaani ushenzi wote tunaofanyiwa na Kenya kuna watu wanafikiria kuwapa access kupitia territory yetu?
 
Miradi ya faida ya pamoja kama huu ndio muhimu sio ujinga huo mwingine wanaiufanya
 
Nchi hii ya ccm haiko tayari hata kufanya mradi wenye tija kwa nchi na wananchi kwenye maeneo yanayoongozwa na wapinzani sembuse ishee na Kenya,hilo ni tusi kwao hata kama mradi unamaslahi kwa nchi,watu wa ajabu sana
East Africa tungefanya joint projects ambazo ziko coordinated kwa pamoja ndio ingekuwa freshi,mfano hiyo idea ya Rwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…