Kwa mjibu wa ratiba ya wizara nchi nzima matokeo yatatangazwa Tarehe 23 september katika vyuo husika.
Wahusika ni WANAfunzi wateule wote.
ya kweli hayo? Haya kama ni kweli tunasubiri kwa hamu sana tunaomba mungu asaidie.
Kwa mjibu wa ratiba ya wizara nchi nzima matokeo yatatangazwa Tarehe 23 september katika vyuo husika.
Wahusika ni WANAfunzi wateule wote.
kwani na wewe yanahuhusu? Au na wewe ni mwanafunzi mteule? Kiswahili kigumu eeeh
matokeo ya mtihani gani tena mkuu?Kwa mjibu wa ratiba ya wizara nchi nzima matokeo yatatangazwa Tarehe 23 september katika vyuo husika.
Wahusika ni WANAfunzi wateule wote.
huja eleweka,
unazungumzia mitihani au majina ya kujiunga vyuoni...kuwa muwazi sasa watu wakuelewe
statement yangu nyepesi sana sijamaanisha kukupinga katika hicho ulichoongea we si unajua moh walivyo?
mimi sijui wewe unawajua walivyo? Tuambie walivyo basi.
kama haujui subiri utajua tu walivyooo.
kwa hyo kwa akili yako unajua mimi kama wewe kiasi cha kutojua kama unavyowaza.