Minneapolis, Minessota imekubali kuilipa familia ya marehemu George Floyd Dollar million 27

Minneapolis, Minessota imekubali kuilipa familia ya marehemu George Floyd Dollar million 27

BRAIN BOX

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2021
Posts
387
Reaction score
317
98baec8b6f0f7a883d4e68ad0320217d.jpg
Minneapolis, Minessota imekubali kuilipa familia ya marehemu George Floyd Dollar million 27 sawa na billioni 62 za kitanzania kama fidia ya mauaji ya George Floyd mikononi mwa polisi.

Familia ya George Floyd iliushitaki mji wa Minneapolis, Minnesota na polisi wanne kwa mauaji ya kijana wao.
#BlackLivesMatter.

source: AL JAZEERA
 
Dogo aliyeachwa asome mpaka aseme sasa imetosha na bahati aje awe mwanasheria then Mungu amuwashie nyota mara paaap! Kawa governor wa Minneapolis, ukinyanyua mkono kuuliza, unashangaa dogo anagombea cheo kikubwa 😁!.
 
Bingo ya maana aisee yani kimasihara maihara familia imepiga jackpot!!!

Daah huu upina sometimes unaweza ukakutenganisha na utu ukawaza mbali ukajikita una wish yule pot angemkanyaga guu la shingo kaka yako ili leo hii utusue mapene
 
Duh ,wenzetu wanapesa mno,bilioni kama milioni kadhaa tu,ngoja niende uko nipigwe risasi ndugu zangu wapige mpunga
Hyo ni American privilege. Siyo kwa raia wa nchi yeyote.

Ukitaka kujua raia wa Marekani ni FIRE, mkamateni tu hata hawa YiuTubers wanaozurula uone moto wake. Marekani inasimama!
 
Back
Top Bottom