Minneola, Tangarine, Pixie, Washington Navel na Murcott Oranges

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Hapo juu hizo ni list za Machungwa ambazo unaweza pata kutoka kwetu, ni graftes na kama unataka kulima comercialy itapendeza sana hasa maeneo yenye full time jua.

1. Minneola- Hii ni cross kati ya Chenza na Grape fruits.

2.Tangarine- Chenza seedless

3.Pixie- cross kati ya Chenza na Chungwa

4.Washington navel- Hii ni full Chungwa yenyewe.

5.Murcott Oranges- Hii ni cross kati ya Chenza na Orange pia.

Zote ni seedless na grafted.

FB_IMG_1695095353537.jpg
IMG_20230922_082607.jpg
IMG_20230920_170420.jpg
 
Hapo juu hizo ni list za Machungwa ambazo unaweza pata kutoka kwetu, ni graftes na kama unataka kulima comercialy itapendeza sana hasa maeneo yenye full time jua.

1. Minneola- Hii ni cross kati ya Chenza na Grape fruits.

2.Tangarine- Chenza seedless

3.Pixie- cross kati ya Chenza na Chungwa

4.Washington navel- Hii ni full Chungwa yenyewe.

5.Murcott Oranges- Hii ni cross kati ya Chenza na Orange pia.

Zote ni seedless na grafted.

View attachment 2757952View attachment 2757954View attachment 2757956
Hizo ni GMO, au?
 
Hizo ni GMO, au?

Unaijua elimu ya GMO? Watanzani ni wavivu sana wa kutafuta maarifa halafu ni mabingwa wa stories za vijiweni, ndio yale yale ya Freemason na 666, Techinolojia ya GMO imeanza miaka ya 1970 na seedlss fruits zimekuwepo enzi na enzi, mfano Seedless Grapes zipo miaka 6000 iliopita, Seedlss Oranges zipo tangua miaka ya 1800+
 
Ungejibu swali tu kuwa ndiyo au hapana ungepungukiwa?
Mbona wenyewe wanasema seeded ni bora kuliko seedless?!!

What are the disadvantages of seedless fruit?

A downside of eating peeled or seedless fruit is that those elements (seeds) contain many nutrients and fiber. Seedless fruits are not as healthy. They have fewer vitamins and minerals. They also contain less fiber, which means they're digested more quickly by your body. 30 Jun 2022
 
Unaijua elimu ya GMO? Watanzani ni wavivu sana wa kutafuta maarifa halafu ni mabingwa wa stories za vijiweni, ndio yale yale ya Freemason na 666, Techinolojia ya GMO imeanza miaka ya 1970 na seedlss fruits zimekuwepo enzi na enzi, mfano Seedless Grapes zipo miaka 6000 iliopita, Seedlss Oranges zipo tangua miaka ya 1800+
Hapa jibu lilitakiwa kuwa NDIO au HAPANA
 
Ndio au hapana ya nini? Tanzania lini imeruhusu GMO? Pia GMO mnasimuliana kwenye vijiwe vya kahawa sidhani kama unaijua GMO, na ni vitu gani hasa kampuni za GMO zinalenga kwa sasa.
 
Hapo juu hizo ni list za Machungwa ambazo unaweza pata kutoka kwetu, ni graftes na kama unataka kulima comercialy itapendeza sana hasa maeneo yenye full time jua.

1. Minneola- Hii ni cross kati ya Chenza na Grape fruits.

2.Tangarine- Chenza seedless

3.Pixie- cross kati ya Chenza na Chungwa

4.Washington navel- Hii ni full Chungwa yenyewe.

5.Murcott Oranges- Hii ni cross kati ya Chenza na Orange pia.

Zote ni seedless na grafted.

View attachment 2757952View attachment 2757954View attachment 2757956
Ni PM no zenu
 
Unaijua elimu ya GMO? Watanzani ni wavivu sana wa kutafuta maarifa halafu ni mabingwa wa stories za vijiweni, ndio yale yale ya Freemason na 666, Techinolojia ya GMO imeanza miaka ya 1970 na seedlss fruits zimekuwepo enzi na enzi, mfano Seedless Grapes zipo miaka 6000 iliopita, Seedlss Oranges zipo tangua miaka ya 1800+
Jibu swali sio kuwatupia lawama watanzania. Unaulizwa hizo ni GMO? Kama elimu ya GMO unadhani hatuijui basi tupatie hapa jukwaani. Unaulizwa swali unaanza blabla nyingi.
 
Unaijua elimu ya GMO? Watanzani ni wavivu sana wa kutafuta maarifa halafu ni mabingwa wa stories za vijiweni, ndio yale yale ya Freemason na 666, Techinolojia ya GMO imeanza miaka ya 1970 na seedlss fruits zimekuwepo enzi na enzi, mfano Seedless Grapes zipo miaka 6000 iliopita, Seedlss Oranges zipo tangua miaka ya 1800+
Sasa 66 kafanye mkuu
 
Ndio au hapana ya nini? Tanzania lini imeruhusu GMO? Pia GMO mnasimuliana kwenye vijiwe vya kahawa sidhani kama unaijua GMO, na ni vitu gani hasa kampuni za GMO zinalenga kwa sasa.
Watu wanashindwa kutofautisha baina ya Hybrid na GMO...hiyo elimu ipo bure Google.
 
Hapo juu hizo ni list za Machungwa ambazo unaweza pata kutoka kwetu, ni1. graftes na kama unataka kulima comercialy itapendeza sana hasa maeneo yenye full time jua.

1. Minneola- Hii ni cross kati ya Chenza na Grape fruits.

2.Tangarine- Chenza seedless

3.Pixie- cross kati ya Chenza na Chungwa

4.Washington navel- Hii ni full Chungwa yenyewe.

5.Murcott Oranges- Hii ni cross kati ya Chenza na Orange pia.

Zote ni seedless na grafted.

View attachment 2757952View attachment 2757954View attachment 2757956
1. Mnapatikana wapi?

2. Mawasiliano yenu?

3. Bei ya miche?

4. Orodhesha baadhi ya mikoa ambayo unafikiri inaweza ikastawi vizuri.
 
Back
Top Bottom