Mino Raiola Ana hali mbaya, ni wakala wa Pogba, Zlatan, Lukaku, Haaland, Balotelli

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
BREAKING NEWS:

Italian football agent Mino Raiola died after illness.

He was agent of Ibrahimovic, Pogba, Haaland etc

🚨 Football agent Mino Raiola has passed away according to the Italian media. 🙏😔

Taarifa Kadhaa huko Ulaya zinaripoti kifo cha wakala maarufu Raia wa Italia na Uholanzi Mino Raiola baada ya kuugua maradhi ambayo hayajawekwa wazi ambayo ameugua kwa muda mfupi,
#ripMinoRaiola

=============================

WAKALA WA ZLATAN, PAUL POGBA ANA HALI MBAYA

Wakala maarufu wa mchezo wa soka Mino Raiola imeelezwa kuwa bado ni mzima licha ya awali kuripitiwa kuwa amefariki dunia, leo Aprili 28, 2022.

Mino ni wakala wa wachezaji wengi wenye majina makubwa wakiwemo Paul Pogba, Zlatan Ibrahimovic na Erling Haaland

Ana umri wa miaka 54 na inadaiwa amelazwa Jijini Milan, Italia tangu Januari, 2022 ikidaiwa alifanyiwa upasuaji japo haikuwekwa wazi ulikuwa upasuaji wa nini.

Wachezaji wengine aliofanya kazi na marehemu ni Romelu Lukaku, Mario Balotelli, Marco Verratti na Henrikh Mkhitaryan.
skysports-mino-raiola-paul-pogba_4776568.jpg

Smile.jpg
 
Kifo cha ajabu, unatafuta hela afu unakufa unaziacha
 
Rest in peace wakala wa dunia tumebakiwa na George Mendez
 
Yeye mwenyewe kasema amekasirishwa na habari za kifo chake🐒

BREAKING NEWS:

Italian football agent Mino Raiola died after illness.

He was agent of Ibrahimovic, Pogba, Haaland etc

🚨 Football agent Mino Raiola has passed away according to the Italian media. 🙏😔

Taarifa Kadhaa huko Ulaya zinaripoti kifo cha wakala maarufu Raia wa Italia na Uholanzi Mino Raiola baada ya kuugua maradhi ambayo hayajawekwa wazi ambayo ameugua kwa muda mfupi,
#ripMinoRaiola

=============================

WAKALA WA ZLATAN, PAUL POGBA ANA HALI MBAYA

Wakala maarufu wa mchezo wa soka Mino Raiola imeelezwa kuwa bado ni mzima licha ya awali kuripitiwa kuwa amefariki dunia, leo Aprili 28, 2022.

Mino ni wakala wa wachezaji wengi wenye majina makubwa wakiwemo Paul Pogba, Zlatan Ibrahimovic na Erling Haaland

Ana umri wa miaka 54 na inadaiwa amelazwa Jijini Milan, Italia tangu Januari, 2022 ikidaiwa alifanyiwa upasuaji japo haikuwekwa wazi ulikuwa upasuaji wa nini.

Wachezaji wengine aliofanya kazi na marehemu ni Romelu Lukaku, Mario Balotelli, Marco Verratti na Henrikh Mkhitaryan.

Mjuba bado hajafa anasubiri akamilishe Dili la kuwapiga Manure £150M kwa Haaland na Mshahara wa £550K per week then ndiyo atakufa.
 
Dailymail, Telegraph, RMC amongst others reported same.
 
Back
Top Bottom