Minyama mingi halafu unavaa suruali limekubana

Coke Zero

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
1,024
Reaction score
542
Kwanza hampendezi kabisa zaidi ya kututisha tu, na ndiyo sababu hizo pochi zenu haziachi kutoa harufu.....fangasi wamekaa hapo miaka nenda rudi mpaka wanahisi labda umekufa.[emoji16] [emoji16]
Unakuta mwanamke mwenyewe ana minyama na shape kama kiboko halafu kapiga jeans imembana kama ametoka nayo tumboni kwa mama yake siku anazaliwa.[emoji35] [emoji35] [emoji35]
Sasa usirogwe umchukue umpeleke geto kwako[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] , yani hata akiogea ndoo nzima ya sabuni ya Omo fast action hiyo harufu utakayokumbana nayo utafikiri umefunua mzoga wa punda.[emoji36] [emoji36] [emoji36]

Tumechoka.
 
Raha yake awe na mapaja manene yanayogusana wakati wa kutembea,
Makalio yanaonekana kama nyama imewekwa kwenye mfuko wa rambo tu!
Ukiangalia chini kidogo ya makalio upande wa nyuma kwa msuguano huo ni kama vile unaona maksai aliyenona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikubwa ni kuukubali mwili wako bila kujali una minyama mingi ama kimbaumbau....kuna kipindi wenye minyama ndio walikuwa wanavaa nguo za kubana alafu wale vimbaumbau ndo walikuwa wanavaa nguo kubwakubwa kwa kuwa tulikuwa tunawatania wana milonjo aka miguu myembamba lakini miaka hii 10+ kuanzia 2000's tumeshuhudia watu wembamba wakijikubai na kuvaa nguo zinazo-fit miili yao kiasi kwamba sasa hivi tena mleta uzi anaona wenye miili mikubwa kama wanajichora
 
Hebu waacheni vibonge wa watu hawakupenda wawe hivyo ujue.
 
Ndio ukome sasa, usirudie tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…