Minyanduano inaenda sambamba na kupeana furaha

Etugrul Bey

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
6,514
Reaction score
15,247
Ni wanandoa wawili wa huko Marekani,,ndoa yao haikuwa na furaha na hata sex kwao ilikuwa ni ya mbinde sana.

Mume alikuwa nyumbani kutokana na mkataba wake wa kazi kuisha katika kampuni fulani,,lkn pamoja na kuwa kwake home katu hakumsaidia mkewe kazi za nyumbani au kama alifanya basi ni kidogo mno.

Mke alikuwa anafanya kazi na wakati huo huo akiwa anajiendeleza na masomo,,hurudi nyumbani akiwa amechoka na kukuta nyumba chafu na pampers zimezagaa hapa na pale,vyombo vikiwa vichafu katika sinki.

Hiyo hali ilimhuzunisha sana na hali mumewe angeweza kusaidia baadhi ya kazi pale home,,hali hiyo ikampelekea mpaka mwanamke kukosa interest na sex kabisa,,na hii ni kwakuwa hakuwa na furaha tena.

Mume kwa upande wake akawa anahitaji haki yake ya ndoa na asiipate lkn alichokuwa hajui ni kuwa mkewe hana furaha tena pale nyumbani

Mume akadhani akiwa anamwambia mkewe mara kwa mara kuwa anampenda ingesaidia kumfanya mkewe ajihisi raha na kuwa na hisia za mapenzi lakini haikuwa hivyo,,,mkewe alizidi kupoteza hisia za mapenzi kadri ya siku zilivyozidi kwenda.

Mume hakujua kwamba kile kitendo cha kumsaidia mkewe baadhi ya majukumu pale nyumbani ingempa furaha mwanamke na hatimaye angerudi katika mood yake na kupata hisia tena za mapenzi.

Kinyume chake mume alizidi kulalamika kuwa mkewe hampendi na anamnyima unyumba .

Haya ndio mambo ambayo wanaume wengi tunayo,,tunatarajia kupata good sex lkn wakati huo huo hatuwafurahishi wake zetu au vipenzi vyetu,,,tukumbuke kuwa ili uinjoy minyanduano basi wote mnatakiwa muwe na furaha

Ikiwa mume una gubu,kitu kidogo tu kwako kinakuwa kikubwa na kusemasema kana kwamba umemeza redio tumboni hapo tambua unafukuza furaha kwa mwenza wako na katu husitarajie good sex toka kwa mwenza wako

Huna kauli nzuri na umejawa na kiburi na majivuno na dharau usitarajie mwenza wako atafurahia hali hiyo,katu hatokuwa na furaha na usitarajie ushirikiano katika minyanduano

Je unamjali mkeo au mwenza wako kwa kiasi gani,huwa unatatua shida zake ndogo ndogo kwa kiasi gani walau hata mara moja moja tu ili apate kuwa na furaha

Kuna mke wa mtu mmoja alimzawadia mchepuko wake mtoto kisa tu jamaa anampa hela na kutatua shida zake ndogo ndogo,,,na mwanamke anasema alikuwa anahakikisha anamridhisha mchepuko wake huyo kiasi kwamba asimtamani mwanamke mwingine yoyote yule.

Je unadhani mwanamke huyu alijishughulisha vya kutosha kuhakikisha mumewe anaridhika na kutotamani mwanamke mwingine? Jibu hapana kwakuwa hakuwa anapata furaha kwa mume wake.

Ninachojua mimi mwanamke huwa amezoa kupokea kutoka kwa mwanaume,,yaani kutunzwa kubembelezwa na kuhudumiwa,,ndio maana wala usishangae ukakuta mwanamke anakipato lkn bado hata mahitaji yake madogo madogo bado akahitaji ahaudumiwe na mumewe

Kwa uzoefu wangu naona wanawake upendo kwao unadhihirishwa kwa vitendo zaidi,,,yaani usidhani ukimwambia mwanamke maneno matamu kila siku ndio atakuona unampenda sana,,,fuatisha na matendo hata zawadi ndogo ndogo utaonekana kidume mbele yake na kuteka hisia zake,hata hela ndogo ndogo za bando zitakufanya uchukue point kwake.

Siku za nyuma huko nyuma nilibahatika kuangalia kipindi kimoja cha television ya zanzibar kuhusiana na mahusiano,mwanamke mmoja alikuwa anaomba radhi kwa mumewe kwa kuchepuka,,anasimulia alianza kuzoeana na mwamba mmoja anapewa zawadi za pipi mara kwa mara na kujikuta amecheat,,hao ndio madam zetu

Nakumbuka kipindi fulani nilikuwa na madam mmoja sikuwa na tabia ya kumpa hela wala na yeye hakuwa na tabia ya kuniomba hela ila siku moja nilimpa elfu hamsini, to my surprise akaniambia "kumbe unanipenda" kumbe inaonyesha siku zote hizo nachukua gari la wazazi home natumia mafuta yao namchukua madam tunaenda beach na kuinjoy upepo wa bahari haikutosha kuona upendo wangu juu yake,,,hao ndio madam zetu

Kwahiyo ili uwe na good sex na mwenza wako hakikisha unamfurahisha kwa namna mbali mbali na utamfanya apate hisia za mapenzi juu yako

Angalizo penda unavyopenda lakini ufanye mambo ambayo yapo ndani ya uwezo wako,,kwani hakuna anayeweza kumridhisha mwanamke kwa asilimia mia

Ni hayo tu!
 
Kwa wema tuu, wewe ni mwanamke? Maana unaongelea hisia za mwanamke kama mwanamke, samahani lkn
 
Yote Kwa yote hawa wenzetu hawaeleweki.
Unaweza ukampa Pesa na yeye akampa Pesa, elewa kauli yangu wewe unampa Pesa na yeye anampa Pesa zilezile unazompa wewe anampa anaemgongo na huyo anaemgonga SIO wewe
 
ngono ni kwa ajili ya watu masikini Ndo wenye muda WA kuwaza ngono
 
Hakuna anayeweza kumridhisha binadamu yoyote kwa asilimia mia, fanya yaliyo ndani ya uwezo wako. Akihitaji yaliyo nje ya uwezo wako mwambie atafte mwingine wa kumpa....OVER
 
Back
Top Bottom