Minyoo bhana

Minyoo bhana

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
jioni nilikula muhindi wa kuchemsha nikalala.. na minyoo pia tumboni wakala wakalala..
sasa nataka niamke taratibu ninyate nikale nyama choma! wasije wakaamka hawa minyoo

mimi sio mama yaoo!!
"mchizi kichizi "
 
Jana nimekunywa maji tu nikalala yaani malalamiko niliyoyapokea ni mengi sana!
Mara nisikie huku tumboni chruuuh, triiiih, triiiih,,,,, nadhani hawa minyoo waliamua kuandamana kupeleka dukuduku lao kwa mkuu wa Mkoa[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]
 
😬😬😬 umetisha mzeebaba
 
Back
Top Bottom