Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Ya mara mkuuHii ilikuwa ya Mara au ya Arusha? Best value for ur money
😬😬😬 umetisha mzeebabaJana nimekunywa maji tu nikalala yaani malalamiko niliyoyapokea ni mengi sana!
Mara nisikie huku tumboni chruuuh, triiiih, triiiih,,,,, nadhani hawa minyoo waliamua kuandamana kupeleka dukuduku lao kwa mkuu wa Mkoa[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]
Na wewe ni mnyoojioni nilikula muhindi wa kuchemsha nikalala.. na minyoo pia tumboni wakala wakalala..
sasa nataka niamke taratibu ninyate nikale nyama choma! wasije wakaamka hawa minyoo
mimi sio mama yaoo!!
"mchizi kichizi "
ntakuwaje mnyoo tena??Na wewe ni mnyoo
Hii ilikuwa ya Mara au ya Arusha? Best value for ur money
07...kama yoteeeenipe no. ya mnyoo mmoja