Maelezo yenye manufaa haya.
Maelezo yenye manufaa haya.
Mkuu iyo mara moja badada ya mwaka au miezi kadhaa?Kama ni kwa ajili ya kinga,anapewa akifikisha mwaka mmoja.
Dawa zinazotumika zaidi tz:
Albendazole 200mg mara moja tu kwa < 2 yr.
AU
Albendazole 400mg mara moja tu kwa 2+ yrs.
AU
Mebendazole 500mg mara moja tu kwa 1+ yr.
Kama ni kwa ajili ya tiba,mtoto aliethibitika kuwa na minyoo atibiwe katika umri wowote kwa kuzingatia umri na dawa ifaayo kwa minyoo aliyonayo.