Minyoo kwa Watoto

Minyoo kwa Watoto

crome20

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2010
Posts
1,193
Reaction score
810
Hivi ni sahihi kumpa mtoto dawa ya minyoo kisa hujampa hiyo dawa siku nyingi au ni mpaka akapimwe?
 
DAWA YA MINYOO HUA INATOKOKEWA KWA MALENGO MAWILI
1.KAMA KINGA YA MINYOO-HAPA HUTOLEWA KILA BAADA YA MIEZI 3
2.KAMA TIBA YA MINYOO-HAPA HUYOLEWA BAADA YA VIPIMO KUCONFIRM KUA UNA MINYOO

NOTE..DOSE YA DAWA YA MINYOO INATOFAUTIANA KUTOKANA NA LENGO
 
Dr asante sana. Swali lanyongeza kidogo, hivi dalili kubwa za mtoto kuwa na minyoo ni zipi. Mtoto wangu kapimwaUTI , TYphod na malaria zote negative,tatizo lake alikuwa anatapika hasa ukifika wakati wa mlo wowote, akianza nA kakikozi hivi sisi tukahisi anajifanyisha si unajua watoto. lakin bado Hana kabisa appetite na kuna watu wananishauri nimpe dawa ya minyoo. Please help me.
 
Back
Top Bottom