Dr asante sana. Swali lanyongeza kidogo, hivi dalili kubwa za mtoto kuwa na minyoo ni zipi. Mtoto wangu kapimwaUTI , TYphod na malaria zote negative,tatizo lake alikuwa anatapika hasa ukifika wakati wa mlo wowote, akianza nA kakikozi hivi sisi tukahisi anajifanyisha si unajua watoto. lakin bado Hana kabisa appetite na kuna watu wananishauri nimpe dawa ya minyoo. Please help me.