Mademu wa dar akitaka kuja geto unamtumia nauli Na akifika geto eti baby toka njee ulipe bodaboda Na akiingia geto eti baby sijala nataka chips anapotaka kuondoka eti baby hi hela haitoshi naomba naya kusukia nywele .. hivi vijana wa dar pesa mnazitowaga wapi??