Miongoni mwa vitu Mwenyezi Mungu amenibariki, ni kuwa Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi

Hii ni laana siyo baraka.
Laana mbayq sana,Mungu atunusuru sisi na vizazi vyetu, tujuavyo sisi wenye akili timamu na macho ya kuona kinachoonekana, ni kuwa ccm ina watu wa aina mbili tu, (1)wajinga kabisa
(2)wajanja kabisa
Hao wajanja ndiyo wanaotafuna nchi hii bila kujali chochote.
Wajinga ni hawa wanaowasifu wanaopora hatma yao na ya vizazi vyao,
Ushahidi==tazama mikoa yote ambayo imeikumbatia ccm,halafu tazama hali yao ya kimaisha, au angalia wale wanaovaa ma fulana na kofia za ccm, huwa ni ama wamenenepa sana (wajanja) au wamekonda ama kuchakaa mno(wajinga) wanaobaki nje ya hilo karai wengi ni wapinzani hai au wasio hai(neutral).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…