Kipangaspecial JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 20,778 Reaction score 28,722 Jun 2, 2024 #41 BabaMorgan said: Nikiwe Sibeko alivyokuwa anacheka huku anashangaa mi nilikuwa napenda balaa Click to expand... Kuna chombo anaitwa Aphiwe
BabaMorgan said: Nikiwe Sibeko alivyokuwa anacheka huku anashangaa mi nilikuwa napenda balaa Click to expand... Kuna chombo anaitwa Aphiwe
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 15,966 Reaction score 26,404 Jun 3, 2024 #42 Mimi katika wanawake niliowakubali humo alikuwa Zukisa Bonge moja la demu mazee ila hakukaa sana akasepa akamuacha mchizi Matiala kwenye mataa
Mimi katika wanawake niliowakubali humo alikuwa Zukisa Bonge moja la demu mazee ila hakukaa sana akasepa akamuacha mchizi Matiala kwenye mataa