Mioyo ya wana Singida inavuja Damu halafu Kwa zarau Mnawapelekea sikukuu ya mei mosi CCM Mmelaaniwa.

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
Kweli CCM Wamechanganyikiwa.

1. Tundu.Lissu yuko Mahubusu.kqa kesi za uongo aliteswa kwa kupigwa risasi 16
2.Charles Kitima Kashambuliwa hali ni mbaya.
Wote hawa ni watoto Wa singida halafu CCM inapeleka sherehe huko ama kweli ujinga ni kipaji.

Mpaka.Uchaguzi mkuu ufike Tutashuhudia Mengi.
 
Hakuna uchaguzi mwaka huu no reform no elections
 


Yan Hadi mmeanza kusahau kua there is no election ?? πŸ˜‚πŸ˜‚.

Ee tutaona mengi Sana kabla ya hiyo election mnayoanza kuitamka Tena. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na mliipanga vizuri sana

Ili kuongeza chuki na serikali
 
Na aliyekwambia Singida wanakaa Wanyiramba na Wanyaturu peke yao nani? PUMBAVU!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…