Mipaka ya hizi idara ni ipi na ipi ni juu ya nyingine?

Mipaka ya hizi idara ni ipi na ipi ni juu ya nyingine?

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,662
Reaction score
6,888
Usalama wa Raia (Polisi) VS usalama wa taifa (UWT) VS ulinzi na usalama (JWTZ)

Soma visions and missions zao halafu jaribu kuanisha kazi zao. Ila vision na mission ya TISS nimeshindwa kuipata kwani nafikiri hawana website wakati CIA, Mossad wanazo - https://www.cia.gov and www.mossad.gov.il respectively!!

Source: www.tanzania.go.tz
 
Back
Top Bottom