mipaka ya mahakama

Kamakabuzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2007
Posts
2,903
Reaction score
1,360
Mara nyingi nimesikia mipaka ya mahakama ya mahali fulani au jurisdiction lakini huwa siielewei vizuri. Labda niweke swali, je mahakama ya mwanzo iliyo katika tarafa A inaweza kupokea na kusikiliza na hatimae kuamua shauri kwa tatizo lililotokea katika tarafa B wakati tarafa B nayo ina mahakama ya mwanzo? na kosa lilitendeka katika tarafa B!
Kama hakuna mipaka je mimi ninayeishi mkoa wa Shinyanga naweza kufungua shauri katika mahakama ya mwanzo iliyo katika mkoa wa dodoma wakati mimi na mlalamikiwa hatuishi dodoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…