Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Habari wana JF
Juzijuzi tu tumesikia taarifa mbaya ya watu kugongwa na gari wakiw wanafanya mazoezi barabarani.
Maoni ya wadau yakawa mengi mbalimbali.
Mi nina swali kwa wapangao miji. Kutokana na ongezeko la urahisi wa kazi maofisini. Watu wengi zaidi wanaingia kwenye kutakiwa kufanya mazoezi ili kuwa fit kiafya.
Sasa kwa kuwa mabarabarani kuna fujo, magari na hewa mbaya. Mnaonaje kututengea na kuboresha maeneo ya wazi yawe bora na toshelevu kwa mazoezi.
Yaani mtu akiingia kwenye hii park anatoka ametweta na six packs juu. Hata kama kutakuwa na kieneo kikawa na vyuma (weight) mbili tatu. Ila zaidi ni calisthenics maana hazihamishiki kurahisisha hata usalama wake.
Nnachomaanisha inawekwa miundombinu ya kuwezesha;
Jogging - kirunway hivi
Cycling hii ni kuwezesha watu kuendesha baiskeli kwenye park na zaidi mijini huko
Push up
Pull up
Calisthenic mbalimbali tu
Hata ikiwezekana vipavement vya michezo isohitaji uwanja mkubwa sana kama basketball hivi.
Sehemu ya kupumzikia kama tu mazingira. Kusocialize na kuwafundisha watoto tabia nzuri ya kufanya mazoezi. Inaweza kuwa katikati ya roundabout pembeni hivi, vitoto vya shule vinaona vikiwa ndani ya schoolbus zao kwamba mazoezini afya.
Miradi hii inadhaminiwa na wananchi wenyewe kupitia serikali yao.
Nadhani kama tumeweza kufadhili miundombinu mikubwa ya stendi za mabasi. Vile tulivyozipendezesha. Hii miradi ni rahisi zaidi. Kwanza ipo open na nikuchomelea tu mavyumavyuma. Eaasy.
Ulaya wanayo. Lakini luxury ndogondogo kama hizi aaaah. Anyway. Nawasilisha
Picha: mzee wa miaka 70, anayetumia miundombinu ya namna hiyo kujiweka fit.