Mipango miji Tanzania

Wakuu wengi wa hizi taasisi ni wazee wasio na exposure na wasio na uthubutu. Haya mawazo watayatoa wapi? Na ukiwapa watakuelewa?
 
mkuu upo sawa sana....

nikupe pongezi kwa hili

ni wazo lenye mtazamo bora kabisa
 
Tunauza mbao kwa bei ya jumla.Njoo ofisini kwetu TEGETA tukuhudumie kwa gharama nafuu sana:-
2*2 fut12=2500
2*2 fut12(treated) ya dawa=2800
2*2 fut18(treated) ya dawa=5000
2*4 fut12 treated(ya dawa)=5000
2*4 fut12 isiyo ya dawa=4500
1*6 fut12=5000
1*8 fut12=8500
1*8fut12 ya fisher board(treated)=9500
1*10 fut12=13500
1*10fut 18 fisher board( treated)=15500
2*4 fut18(treated)=9500
2*6 fut12=8000
1*4 fut12=2800
2*6 fut 18=19000
Tunapatikana muda wote kwa namba za simu zifuatazo:-
----0759630751
----0687371138
----0654830416

vile vile kuna huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu
 
Sijakuelewa unaongelea kuhusu nn.
 
tunaweza kuutumia huu uzi vyema kwaajili ya kulikomboa taifa letu kwenye masuala ya miundo mbinu,

wizara ardhi hatutoacha kuitupia lawama mpaka ijirekebishe kikamilifu kiutendaji na uwajibikaji
 
"Ukipita njia moja hivi kutoka Itigi kwenda Tabora kuna msitu mkubwa hakuna mtu hata mmoja, ardhi iko nyingi nchii hii ambayo haina mgogoro wowote wala haina mtu anayekaa, lakini ardhi inapoanza kupata wakaazi na matumizi,, ndiyo migogoro inapoj@jerrysilaa Waziri wa Ardhi

"Kikubwa ambacho tumedhamiria ni kuhakikisha hii nchi inapimwa yote, kuna zile 'K tatu' yaani kupanga, kupima na kugawa, sasa huwezi kugawa nchi nzima lakini ipangwe halafu ipimwe,"- @jerrysilaa Waziri wa Ardhi

"Tukisema kupanga maeneo maana yake ni kupanga kwa teknolojia ya kisasa ambayo inaamini kabisa ndani ya miaka 50 hadi 100 ijayo studio za TV na Radio zitakuwa maeneo gani, tujue kabisa mwaka 2100 na 2200 tutahitaji shule ngapi, hebu tupange leo kisha tupime ibaki kazi ya ku-allocate,"- Jerry Silaa, Waziri wa Ardhi

#SupaBreakfast
#EastAfricaRadio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…