mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,400
- 3,853
Mipango ya elimu kupitia MMEM na MMES inapangwa vizuri tu lakini wapangaji na wasimamizi hawasomeshi watoto wao katika shule za serkali ambazo ndio zinahusika asilimia mia moja na mipango hii.
shule za serikali zina matatizo mengi tu kubwa ni kukata tamaa kwa walimu. hali ya taaluma ni tatizo. uelewa wa wanafuni unatia shaka. wapangaji mipango wengi hawana watoto huko.
Kuna harakati za kufanya kiingereza kiwe lugha ya kufundishia ngazi zote lakini tena hao waamuzi na watoa sera watawapeleka watoto wao English medium schools au hata nje ya nchi. Na wengine wanajipanga kuanzisha shule zao na hazitafundisha kwa kiswahili.
kuanguka kwa taaluma shule za sekondari kunachangiwa na kupeleka rundo la wanafunzi wa praimari ambao maandalizi yao kitaaluma hayakuwa kamilifu ndo unakuta wanafuni waliopata chini ya nusu ya alama 250 wanapelekwa huko.
kiwango cha kuingia sekondari kisishuke almama 125 kati ya 250. hii itawachochea walimu na wanafunzi kujitahidi zaidi na itainua pia taaluma.