Mipango ya hisa simba sc yafikia patamu

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
10,356
Reaction score
16,379
Katika vitu ambavyo natamani kuona ni simba kuingia katika mfumo wa HISA
Kwa mtindo huu simba inaweza kuwa kama club nyingine barani Afrika na dunia kwa ujumla

Mimi kama mwanachama naukaribisha mpango huu kwa mikono miwili
Na wale wote wenye mapenzi mema na simba sc hawana budi kuunga mkono hatua hii ya club kuelekea katika mfumo wa HISA


Simba nguvu moja
Simba forever
 
Mchakato umefikia patamu kivipi ?
Tuelezee kidogo kwani sisi wa mikoani hatapati magazeti mengine.
Fafanua kidogo ili tujue hatua iliyofikiwa na timu ya Simba katika mchakato wa hisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…