Miracle At "Lupaso"

Miracle At "Lupaso"

Mario Kejob

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2020
Posts
441
Reaction score
536
Dhana ya kwamba Simba watapindua matokeo ya mchezo wa marudiano pale Kwa Mkapa is very unlikely or simply hyperbolic. Lakini wenzetu husema, never say never, nothing is impossible under the sun.

Iliisha wahi kutokea huko nyuma kati ya Simba na Mufulira Wanderers, why not now. Simba wajipange tu vizuri na kutokurudia makosa yao na dakika 90 za pili ndio zitaamua matokeo.

All the best Mnyama.
 
Inshallah meza ya zege itapinduliwa na Mnyama mbishi Simba.
 
Dhana ya kwamba Simba watapindua matokeo ya mchezo wa marudiano pale Kwa Mkapa is very unlikely or simply hyperbolic. Lakini wenzetu husema, never say never, nothing is impossible under the sun...
mfunge 4,mje muweke Tena la 5,wale jamaa wamesimama tu,[emoji1],kumbuka uchezaji wao ule aisee, Yani mnakazi yakufunga na kuzuia wasifunge hata mota moja....na kwa Simba hii[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Katika kupindua hiyo meza yenu mnayojidanganya hakikisheni Kaizer wasipate wasipate KONA,kwani wakipata KONA tu ujue gori. Unaambiwa bora wapate PENATI wanaweza kosa lakini siyo KONA.
 
Pale lupaso simba anavuliwa nguo tena.
 
Back
Top Bottom