Mario Kejob
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 441
- 536
mfunge 4,mje muweke Tena la 5,wale jamaa wamesimama tu,[emoji1],kumbuka uchezaji wao ule aisee, Yani mnakazi yakufunga na kuzuia wasifunge hata mota moja....na kwa Simba hii[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Dhana ya kwamba Simba watapindua matokeo ya mchezo wa marudiano pale Kwa Mkapa is very unlikely or simply hyperbolic. Lakini wenzetu husema, never say never, nothing is impossible under the sun...