Miradi ambayo nchi za Afrika zingefanya ili kuondoa utegemezi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. hiyo solution uliyoitoa siyo.. wala haitekelezeki.. nani ataoa albino?

Cha muhimu ni kutafuta maarifa.. watu wengi wapate maarifa.. waondoke kwenye lindi la ujinga
Naomba ufafanuzi hapo kwenye bold; kama ni elimu hi hi tu yenye kutoa maarifa, kwsasa Africa raisi asiye na walau degree 1 wapo wachache sana, hope hata 10 hawafiki, most of them are well educated but bado tupo vile vile, wa kwetu si anazo 3 kabisa!? Nafikiri kipo kitu tofauti we a re missing!
 
Yote ingewezekana km nyerere asingepingana na nkrumah khs kuanzisha USA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo unayosema yalikua yanawezekana kufanyika AFRICA, na watawala wetu (colonialists) walilijua hilo, kipindi wanakuja kututawala wali apply divide and rule system,, walitugawa ili kuondoa umoja baina yetu the same walipotuachia nchi zetu chini ya ukoloni mambo leo walitugawa na wanaendelea kututenganisha baina yetu kwa ma system kama brain and drain hapo ndo tunapata viongozi wanao support western, wengine kama akina Mugabe waliobaki na misimamo yao ya kiafrika wanaonekana hawafai.
NB.Mwandishi sijui anaitwa chike onyeani kwenye kitabu chake cha CAPITALIST NIGGER amesema' african leaders they fought for freedom and independence and that was not a bad idea, the question is did they knew the real meaning of FREEDOM AND INDEPENDENT?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…