papaa2015
JF-Expert Member
- Jul 12, 2012
- 411
- 101
Habari za jioni ndugu zangu,
nikiamini kuwa jamii forum ni sehemu iliyobarikiwa vipaji na taaluma za aina zote,nimeona ni vyema nije hapa kuomba muongozo juu ya uendeshaji wa miradi ifuatayo kwa yeyote atakayekuwa na ufahamu nayo.
Kwanza kabisa,nina shamba kubwa lenye zaidi ya heka 50 huko Morogoro na ninafikiria kufanya mradi wa kufuga nyuki ili nivune asali kwa ajili ya biashara.ninaomba muungozo kwa yafuatayo;
Pili,nina eneo ambalo nafikiria kufuga samaki aina ya SATO,je

- Ni mashirika gani yanayotoa GRANTS kwa ajili ya uanzishwaji biashara hii,kwani sina hati miliki ya kuweza kuomba mkopo bank.
- ni taratibu gani za kupata hiyo grant.
- Ni leseni za aina gani nahitaji kwa ajili kuruhusiwa kufuga nyuki.
Pili,nina eneo ambalo nafikiria kufuga samaki aina ya SATO,je
- ni mashirika gani naweza pata grant
- na nini zaidi nahitaji,nikimaanisha lesen au aina nyingine ya certification