Miradi hii vipi?

papaa2015

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2012
Posts
411
Reaction score
101
Habari za jioni ndugu zangu,

nikiamini kuwa jamii forum ni sehemu iliyobarikiwa vipaji na taaluma za aina zote,nimeona ni vyema nije hapa kuomba muongozo juu ya uendeshaji wa miradi ifuatayo kwa yeyote atakayekuwa na ufahamu nayo.

Kwanza kabisa,nina shamba kubwa lenye zaidi ya heka 50 huko Morogoro na ninafikiria kufanya mradi wa kufuga nyuki ili nivune asali kwa ajili ya biashara.ninaomba muungozo kwa yafuatayo;

  • Ni mashirika gani yanayotoa GRANTS kwa ajili ya uanzishwaji biashara hii,kwani sina hati miliki ya kuweza kuomba mkopo bank.
  • ni taratibu gani za kupata hiyo grant.
  • Ni leseni za aina gani nahitaji kwa ajili kuruhusiwa kufuga nyuki.

Pili,nina eneo ambalo nafikiria kufuga samaki aina ya SATO,je
  • ni mashirika gani naweza pata grant
  • na nini zaidi nahitaji,nikimaanisha lesen au aina nyingine ya certification
 
the best way is to seek term partnership or joint venture with an organization that is well sound, professional and which has a pottential market share on the subject field you intend to start business

I wish you all the best
 
UFugaji nyuki kama profit oriented project lakini wenye faida kijamii na kimazingira kuna mashirika ya fedha ukiplekea BP yako wanaelewa vema zaidi. Pia MFUKO WA MISITU TANZANIA unatoa ruzuku ndogo, kati na kubwa japo RUZUKU hizo hazizidi 50 mil.
Wenzanzako nishawaandikia proposal za miradi hiyo na kusubmitt Mfuko huo. Pia kwakuwa mimi hii ndo ofisi yangu, YAAN Resource mobilization, project planning and Writing, ASSIGN US hiyo kazi hakika utaona matunda ya ardhi yako na project ideas zako. Kwanza Ideas hizo; nyuki na samaki UMEGUSA penyewe.
OFISI yetu moja ya kazi zake ni hizo ni kusearch financial and non financial resources kwa ajili ya miradi ya taasisi na watu binafsi. Nina hakika you wont regret kututumia. Usiogope FEES zetu, they are affordable and negotiable, stay relaxed.
Tembelea blog yangu ujionee. KIMI DEVELOPMENT CONSULTANCY SOLUTIONS
 
cortunix and ipilimo,thax for ur advice......will work on ur imputs and come back to u soon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…