Kama upo makini na ufatiliaji wa maendeleo ya Tanzania basi utagundua kwa hiki kipindi ni kama kuna uzinduliwaji na ujengwaji wa miradi Mingi kwa kasi upande wa Unguja na Pemba nitainisha kwa kutaja sekta nne katika Mengi yaliyofanywa Na Raisi wetu Mpendwa Dkt. Hussein Mwinyi.
Kuna miradi Mingi kwa mfano sekta ya elimu,michezo na usafiri pamoja na biashara imezinduliwa kwa haraka sana .
Mifano ipo ingia youtube utajionea
SWALI :- Kwa nini bara miradi haikamiliki kwa kasi wakati uwezekano upo na mfano ni zanzibar ?
SWALI :- Kwa nini bara nchi inaenda kama haina macho au malengo ? Kwa nini hatupati matumaini ya miradi kukamilika.
SWALI :- Kwa nini nchi hatuoni mikakati mipya ya kimaendeleo ?Je mikakati ni ya mtu na si cha chama kiasi akiondoka nchi inabaki bila macho ya kimkakati ya kujikomboa kiuchumi ili kujitegemea ? Kwa nini sasa nchi imepoa ?
SWALI :- Kwa nini miradi iliyopo imesimamisha miradi na sera za kimaendeleo mpya ? Je uongozi ndio tatizo hata kama makaratasi yapo na yana macho ya maendeleo ?
Je kwa ishara ya kufeli kwa falsafa za mikakati na sera za kimaendeleo katika nchi kati ya uongozi wa kwanza mpaka wa mwisho ni ishara bado tumetawaliwa kupitia ukoloni mambo leo na anaekaa katika kiti cha enzi huamua kutokana na alivyokalishwa na atanena kwa kadiri ya wapendavyo na lililo sahihi hatotimiza hata kama anaona ?
Kwa wale msiopenda maswali na kusoma mada ni kuwa nataka kujua kwa nini ukivuka maji miradi inazinduliwa kila baada ya wiki moja .
Nawasilisha Duku duku langu lenye wivu tele kwa Tanganyika NB:- Sijahusisha Muungano kuvunjwa.
TANZANIA YANGU NCHI YANGU .