Tetesi: Miradi isiyo na Tija 2018

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Sote tunajua awamu zilipo pita zilikua na.miradi lukiki isiyo na tija. Miradi ambayo kodi ya mwananchi ilitumika pasipo manufaa kama ile miradi ya mifuko ya jamaii na baadhi ya taasisi bila kusahau miradi hewa.

Awamu hii imekuja kivingine na imejipambanua kama ni awamu inayo taka kuonyesha thamani ya fedha kwa kila mradi na ukweli wamejitahidi sana.

Japo kuna madoa kidogo, wakati tunamaliza mwaka ebu tujikumbushe miradi isiyo na tija.

1. Ununuzi wa madiwani
2. Kurudia chaguzi za madiwani na wabunge just kumbadili mbunge chama.
3.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…