Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew ametembelea na kukagua utekelezaji wa mradi wa maji Chalinze awamu ya tatu na kuridhishwa na utekelezaji wake unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 wa Mji wa Chalinze.
Akizungumzia na wakazi wa Kata ya Msata leo Jumatano Januari 8, 2025 alipotembelea moja ya vizimba vinavyohudumia wakazi wa eneo hilo, Naibu Waziri Kundo ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) kwa kazi nzuri ya usimamizi wa mradi na kuagiza kazi chache zilizosalia zikamilishwe kwa wakati.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Nichukue nafasi hii kuwaagiza Dawasa, kuna baadhi ya vizimba vilivyojengwa wakati wa awamu ya kwanza na ya pili ya mradi huu na sasa havitoi maji, mkavirekebishe na wananchi wapate huduma, lakini pia katika awamu hii ya tatu ya mradi mkandarasi ahakikishe vizimba vyote vinatoa maji kabla ya kukabidhi mradi huu," amesema Mhandisi Kundo.
Kundo amesema kwakuwaomba wananchi kuilinda miundombinu ya maji kwa wivu mkubwa ili thamani ya fedha iliyotumika iendelee kuonekana.
"Sisi Wizara ya maji hatutakaa ofisini, tutatoka kuhakikisha miradi ya maji inatekelezwa ipasavyo na wananchi wanapata huduma ili adhima ya Rais ya kumtua mama ndoo ya maji kichwani iweze kukamilika," amesema Kundo.
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Shaibu Ndemanga amemshukuru naibu waziri kwa ziara yake kwani imekuwa ya mafanikio na wanabaki na imani kubwa huduma ya maji katika maeneo ya Bagamoyo na Chalinze itaimarika zaidi.
JANUARI
Maoni ya kamati za bunge juu ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo
Akizungumzia na wakazi wa Kata ya Msata leo Jumatano Januari 8, 2025 alipotembelea moja ya vizimba vinavyohudumia wakazi wa eneo hilo, Naibu Waziri Kundo ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) kwa kazi nzuri ya usimamizi wa mradi na kuagiza kazi chache zilizosalia zikamilishwe kwa wakati.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Nichukue nafasi hii kuwaagiza Dawasa, kuna baadhi ya vizimba vilivyojengwa wakati wa awamu ya kwanza na ya pili ya mradi huu na sasa havitoi maji, mkavirekebishe na wananchi wapate huduma, lakini pia katika awamu hii ya tatu ya mradi mkandarasi ahakikishe vizimba vyote vinatoa maji kabla ya kukabidhi mradi huu," amesema Mhandisi Kundo.
Kundo amesema kwakuwaomba wananchi kuilinda miundombinu ya maji kwa wivu mkubwa ili thamani ya fedha iliyotumika iendelee kuonekana.
"Sisi Wizara ya maji hatutakaa ofisini, tutatoka kuhakikisha miradi ya maji inatekelezwa ipasavyo na wananchi wanapata huduma ili adhima ya Rais ya kumtua mama ndoo ya maji kichwani iweze kukamilika," amesema Kundo.
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Shaibu Ndemanga amemshukuru naibu waziri kwa ziara yake kwani imekuwa ya mafanikio na wanabaki na imani kubwa huduma ya maji katika maeneo ya Bagamoyo na Chalinze itaimarika zaidi.
JANUARI
- Zanzibar Mental Health Support Organization imeanza kutekeleza Rasmi Mradi wa Elimu ya Afya ya Akili Shuleni
- Wizara ya Ardhi yapongezwa kutenga fedha kukamilisha mradi wa maktaba
- Katibu Tawala Mkoa wa Songwe akagua kiwanda cha makaa ya mawe STAMICO na Mradi wa Barabara ya London - Kiwila
- DC Momba amshukuru Rais Samia kwa kutoa fedha nyingi za miradi, katika sekta ya elimu
- Serikali TAMISEMI yaahidi kuchangia zaidi ya Milioni 600 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa kituo cha Afya cha Ukumbi Kilolo, Iringa
- Pre GE2025 Pinda: Kuunda timu ya wataalamu kuwabaini wamiliki wa mashamba na kutatua migogoro ya ardhi wilayani Kiteto
- Pre GE2025 Mavunde: Kiwanda cha kuchenjua shaba Nala, mkombozi kwa wachimbaji wadogo wa madini
- Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo lapendekeza Kuvunjwa kwa Mkataba wa Mkandarasi wa Mradi wa Umwagiliaji Mgongola
- Air Tanzania yaanza rasmi safari zake Mtwara - Dar
- Barabara njia nne na sita kujengwa Dodoma
- Pre GE2025 DAWASA inatekeleza ujenzi wa vituo nane(8) vya kisasa vya kuchakata majitaka kwa thamani ya Bilioni 16
- Pre GE2025 Serikali yatoa bilioni 2.5 kuendeleza ujenzi hospitali ya Dtk. Samia Muheza
- Pre GE2025 Shinyanga: Ujenzi wa zahanati ambayo haujakamilika tangu 2012, wananchi waililia serikali ikamilishe ujenzi huo
- Pre GE2025 Wananchi wa Kijiji cha Mtyangimbole Halmashauri ya Madaba, waishukuru serikali kwa kuwajengea shule ya sekondari
- Pre GE2025 Serikali kujenga uwanja mpya wa ndege Kagera
- Pre GE2025 Serikali imejenga Chumba cha kuhifadhia maiti hospitali ya wilaya Ikungi
- Pre GE2025 Njombe: Waziri Jafo ataka mradi makaa ya mawe ukamilike haraka
- Pre GE2025 DAWASA: Usambazaji wa maji Kinondoni wafikia 97%, Je, ulipo bado kuna shida ya maji?
- Pre GE2025 Gerson Msigwa: Ujenzi wa bwawa la kufua umeme
- Julius Nyerere umefika asilimia 99.80, mvua zisiponyesha hata misimu miwili bado tutazalisha umeme
- Pre GE2025 Njalu Silanga, Mbunge Itilima: Serikali imepeleka bilioni 85 kwa ajili ya miradi ya maendeleo Itilima, Simiyu
- 18. Pre GE2025 Baada ya Samia Legal Aid sasa wameanzisha "Samia Teachers Clinic" kwa ajili ya maslahi ya walimu. Walimu msidanganyike!
- Pre GE2025 Mkurugenzi wa Jiji Dar asema Jiji halitawavumilia wakandarasi wanaochelewesha miradi, Ufungaji wa kamera za CCTV katika Soko la Kariakoo kuanza
- Pre GE2025 Kimei amtaja Samia kinara wa mageuzi ya elimu nchini ikiwemo maarifa ujuzi, asema Vunjo yanufaika
- Vikundi 150 Tunduma vyapokea bilioni 4.6 mikopo ya asilimia 10
- DC Bomboko aagiza kuondolewa mkandarasi anayetekeleza mradi wa ujenzi shule ya Sekondari Saashisha sababu mradi kusuasua
- Serikali imetangaza kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Soni - Bumbuli - Korogwe kwa kiwango cha lami
- Pre GE2025 Tandahimba: Serikali imekamilisha ujenzi wa kituo cha afya cha Maheha kilichogharimu milioni 400
- Pre GE2025 NIRC wasaini mkataba wa bilioni 17 ukarabati skimu za umwagiliaji bonde la mto wa Mbu Arusha
- Pre GE2025 Kyela: CCM yasikitishwa kusuasua kwa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mbeya
- Pre GE2025 Wananchi kutoka Vijiji 112 kutoka Ushetu, Shinyanga wanatarajia kuanza kunufaika na Mradi wa Maji kutoka Ziwa Viktoria, mabomba lukuki yashushwa
- Pre GE2025 Serikali kuanza ujenzi na ukarabati wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga (Bombo)
- Pre GE2025 Dkt. Mpango akabidhi mitungi ya gesi kwa wanawake Mbeya
- Pre GE2025 Njombe DC: Bilioni 1.16 zakabidhiwa kwa vikundi 92 mikopo ya mapato ya ndani
- Pre GE2025 RC Simiyu akabidhi mradi wa ujenzi wa daraja la milioni 757 kwa mkandarasi na kuagiza ukamilike kwa muda na ubora
- Pre GE2025 Ujenzi wa SGR Mwanza - Isaka wafikia 63%
- Pre GE2025 Mrisho Gambo: Barabara ya Esso - Long'Dong Arusha mjini kujengwa kwa kiwango cha lami
- Pre GE2025 Samia Teachers Mobile Clinic inayoratibiwa na CWT inatarajiwa kusikiliza changamoto mbalimbali za walimu Geita
- Pre GE2025 Wananchi Handeni - Tanga waishukuru Serikali kwa kutatua kero ya upatikanaji wa huduma ya maji
- Pre GE2025 DAWASA inatekeleza ujenzi wa vituo nane(8) vya kisasa vya kuchakata majitaka kwa thamani ya Bilioni 16
- Pre GE2025 Serikali yatoa bilioni 2.5 kuendeleza ujenzi hospitali ya Dtk. Samia Muheza
- Pre GE2025 Rais aweka jiwe la msingi ujenzi wa daraja la Mto Pangani la Bilioni 107, Urefu wa Mita 525
- CCM yampongeza DED Hai kwa kusimamia miradi ya maendeleo
- Pre GE2025 Kimei amtaja Samia kinara wa mageuzi ya elimu nchini ikiwemo maarifa ujuzi, asema Vunjo yanufaika
- Pre GE2025 Rais Samia ahahidi miradi mikubwa ya maji, barabara na bandari mkoani Tanga
- Pre GE2025 Samia: Natamani kuirudisha Tanga ya Viwanda
- Pre GE2025 Mbunge Ummy Mwalimu aomba kufufuliwa kwa viwanda, ujenzi Chuo Kikuu Tanga
- Pre GE2025 Rais Samia: Barabara ya Handeni - Kiberashi - Singida Ijengwe kwa PPP
- Pre GE2025 Rais Samia akagua Maboresho ya Bandari Tanga, Bilioni 429 zatumika ikiwemo ujenzi wa gati mbili mpya
- Pre GE2025 Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa LPG Terminal GBP GAS-Tanga Machi 1, 2025
- Pre GE2025 Kamati ya Siasa Mkoa wa Kilimanjaro imeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa maji unaosimamiwa na MUWSA
- Pre GE2025 Waziri Jafo: Zaidi ya Viwanda 30,000 Vimejengwa Ndani ya Miaka 4 ya Rais Samia.Ampongeza Kwa Kuleta Mageuzi Makubwa ya Uwekezaji
- Pre GE2025 Shule mpya 71 zajengwa Geita miaka minne ya Rais Samia
- Pre GE2025 Mbunge Katambi ashiriki na Wananchi ujenzi wa Zahanati Ibanzamata, achangia milioni 10
- Sumbawanga: Serikali ipo mbioni kuanza ujenzi wa daraja la Ilembo lenye urefu wa mita 60 kwa bilioni 1.3
- RC Lindi aagiza usimamizi wa fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu Halmashauri ya Mtama
- Mbunge Bukoba Mjini: Bilioni 47 kutumika ujenzi wa soko kuu la kisasa la Manispaa ya Bukoba
- Rukwa: Kijiji cha Kanazi kunufaika mradi wa maji ya kisima
- Pre GE2025 RC Dendego aongoza wanawake wilaya ya Singida kushiriki ujenzi wa shule ya amali unaogharimu bilioni 1.6
- Mradi wa uboreshaji wa miji Tanzania (TACTIC) Geita Mjini, Mbunge alalama ubabaishaji wa mkandarasi, Tuliahidi mradi kukamilika kabla ya uchaguzi
- Pre GE2025 Serikali kuboresha Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kuijenga upya kwa Trilioni 1.2
- Pre GE2025 Bilioni 17 kubeba ujenzi wa stendi kuu na barabara za lami Mjini Babati
- Ummy Mwalimu: Bilioni kutumika kukamilsha ujenzi barabara Tanga - Pangani
- Shigongo atoa milioni 10 kukamilisha ujenzi wa Zahanati uliosimama kwa miaka 15 Buchosa
- Pre GE2025 Milion 600 kujenga kituo kipya cha afya Mahuninga, Iringa
- Kamati ya Siasa CCM Dodoma mjini waigomea taarifa ya mradi wa ujenzi wa Soko la Zayoni lililopo Nkuhungu
- Pre GE2025 Juliana Shonza: Rais Samia ametufanyia Kazi nzuri, tumepata Hospitali ya Kisasa kwa Wanawake Songwe
- Pre GE2025 DSM Waziri Ulega aonya wakandarasi wazembe, aagiza hatua kali kuchukuliwa kwa wanaosababisha ucheleweshwaji wa miradi ya Mwendokasi
- Pre GE2025 RC Lindi, Zainab Telack akagua Ujenzi wa Shule ya Bil 7.8
- Pre GE2025 RC Kunenge awataka TANROADS na TARURA kumaliza miradi ya barabara iliyoahidiwa na CCM 2020
- Pre GE2025 Kigoma kuuziwa majiko banifu ya ruzuku kwa Tsh. 10,000
- Pre GE2025 Singida: Mitungi zaidi ya 29,000 yatolewa kwa bei nafuu
- Trilioni 1.9 zinatajwa kuboresha huduma ya maji Dar, Pwani kwa miaka 4, vipi hali ya upatikanaji mtaani kwako?
- Pre GE2025 Rais Samia azindua Mradi wa Maji Same-Mwanga-Korogwe Machi 9, 2025
- Pre GE2025 Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
- Pre GE2025 Miaka 4 ya uongozi wa Rais Samia madarakani, Kiwango cha uwekezaji Kupitia Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) umeongezeka
- Naibu Waziri wa Ardhi, Geophrey Pinda azindua kambi ya wiki mbili ya matibabu bure ya macho na matatizo ya mkojo
- Pre GE2025 Waziri mkuu mkuu mkuu akizindua mradi wa maji Igunga asema mazoea ya maji kukauka baada uzinduzi yakome
- Pre GE2025 Makamu wa Rais CWT: Kero za walimu hazimalizwi kwa maandamano na mabango
- Pre GE2025 Wananchi wafanyishwa sherehe ya kukamilika ujenzi wa kituo cha afya, ni ajenda ya kumpigia kampeni Rais Samia
- Pre GE2025 Video: Barabara mbovu kiasi DC kutembea kwa mguu kwenda kukagua miradi ya maendeleo
- Waziri Mkuu azindua stendi ya Bilioni 4 Nzega
- Waziri Slaa awataka wananchi kushiriki ujenzi wa mnara
- Dodoma: Ujenzi wa barabara ya Zegele - Chikopelo unategemewa kutatua changamoto ya usafiri
Maoni ya kamati za bunge juu ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo
- Kamati ya kudumu ya bunge yaridhishwa na ujenzi wa minara 758
- Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo yaridhishwa kasi ya Ujenzi wa mwalo wa Chato Beach mkoani Geita ukifikia asilimia 91
- Kamati ya ardhi, maliasili na utalii yaridhishwa na ujenzi wa maktaba chuo cha ardhi Tabora
- Kamati ya miundombinu yafanya ziara Tanga yasema inajivunia kasi ya maendeleo kwenye bandari ya Tanga
- Tabora: Kamati ya Bunge yaridhishwa ujenzi Bwawa la Kizengi
- Kamati ya miundombinu yaitaka Serikali kumsimamia mkandarasi ujenzi barabara ya Tanga-Pangani ili ikamilike wakati