ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Naendelea na mada za Kuwafahamisha Miradi mbalimbali ya Maendeleo ambayo inatekelezwa na Serikali ya awamu ya 6 Chini ya Mwanamama jasiri na mtulivu Madam Samia.
Leo ni zamu ya Mkoa wa Katavi baada ya kuwafahamisha Mikoa ya Mbeya,Kigoma na Rukwa.
Mkoa wa Katavi Maarufu Kama Kwa Pinda mtoto wa mkulima Nako mambo ni moto,Samia anazidi kugawa Upendo ilimradi Kila Mkoa wa Tanzania hii atawafikia.
Hii hapa miradi mikubwa inayoendelea kutekelezwa Mkoani Katavi.
-Ukarabati na Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Mpanda(Jengo jipya la Abiria).
-Ujenzi wa barabara ya Mpanda-Karema Port
-Ujenzi wa barabara ya Sitalike-Kibaoni-Majimoto-Inyonga(Katavi-Rukwa Road)
-Ujenzi wa barabara ya Mpanda-Mishamo-Uvinza-Kasulu(Katavi-Kigoma Road), sehemu ya kwanza Vikonge-Luhafi-Mishamo.
-Ujenzi wa Daraja la Mto Ugalla
-Ujenzi wa Daraja la Mirumba
-Ujenzi wa Njia ya Kusafirisha Umeme mkubwa ya kv 400 Tabora-Mpanda(Kuunganisha Katavi na Gridi ya Taifa)
-Ujenzi wa Mradi wa Maji wa Bwawa la Milala Mpanda Mjini.
-Programu za Kilimo Cha Mazao ya biashara ambayo hayakuwepo awali kama Kahawa,Korosho na Pamba Wilaya ya Tanganyika.
-Usanifu wa Barabara ya Mpanda-Ugalla-Ulyankuku-Kahama
-Usanifu wa reli ya SGR ya Kaliua-Mpanda-Karema Port
-Ujenzi wa awamu ya Pili wa Hospital ya Mkoa na ununuzi wa vifaa tiba eg CT Scan
-Ujenzi wa maghala ya kuhifadhia mazao ya chakula na NRFA
-Ujenzi na Ukarabati wa Skimu ya Umwagiliaji za Mwamkulu na kabage hekta 6,000 Kwa zaidi ya Bilioni 54 by NIRC.
-Ujenzi wa majengo ya Utawala eg Polisi Katavi HQ
-Ujenzi wa Shule Maalumu ya Sayansi ya Mkoa High School
Hiyo ni Baadhi tuu ya Miradi mikubwa ya Kitaifa.Pia Kuna miradi ambayo imekamilika,Baadhi yake ni
-Ujenzi wa barabara ya Mpanda-Tabora
-Majengo ya Utawala ya Mkoa na Wilaya
-Hospitali za Wilaya
-Baadhi ya Mpanda-Sitalike
-Bandari ya Karema
-Mpanda Airport
Kwa miradi tajwa hapo Juu itakapokamilika ,itafungua fursa za Mkoa wa Katavi ikizingatiwa kwamba ni Mkoa Mpya wa Mkoa wa kimkakati ulioko mpakani mwa Tanzania na DRC Kupitia Ziwa Tanganyika.
Kazi iendelee
View: https://twitter.com/WizarayaUJ/status/1744453797068288293?t=tXjAQfXKb_U3T4GsPcSzLA&s=19