Miradi mikubwa inayoendelea Kenya

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hapa sitalinganisha maana mumelialia sana na kulalamika, wakati mlianzisha wenyewe.

hapa naorodhesha miradi inayoendelea Kenya na hata iliyopangiwa.

Hii hapa barabara ya Outer Ring ambayo tayari ujenzi umeanza tena unakwenda kwa kasi









 
Mradi wa reli ya SGR ambao pia unakwenda kasi. Miezi michache ijayo tutaanza kutumia kwa usafiri kutoka Mombasa hadi Nairobi.
reli yenyewe inategemewa kufikia Bujumbura na Juba, itakua muhimu sana kwetu sisi kuteka soko la DRC kwenda mbele.
Pia Tanzania kaskazini watanufaika pakubwa maana tayari wanatumia bandari yetu.






 
Mmekosea
mgeweka kama ushindani
hapo naona mmetuzuia Watanzania tusianze kutiririka miradi yetu

Weka Tz vs Kny

Tukiweka kiushindani mnalia sana hadi mnafanya nihisi huruma, wakati nyie ndio mnaanzisha ushindani.
Hamna siku mtaweza kushindana na sisi kwa lolote, mpo mbali sana tena huko nyuma. Tulia tutiririke mambo ambayo yanatendeka huku ambayo yanafanya niipende nchi yangu kwa moyo wote.
 
Kama tunalia hebu fanya hivyo tulie zaidi
ili mfurahi
 
Vipi kuhusu deni la Taifa kujua kwa kasi!?

Deni lisikutie wasiwasi maana tulikopa sisi na tutalipa sisi, cha msingi ni kuhakikisha tunasimamisha miundo mbinu itakayotuweka kwenye level nyingine.
Tunapaa na kupepea, nyie hata mpewe madeni na fadhila na misaada hamna siku mtakaribia hata nyuma yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…