Miradi mikubwa inayoendelea Kenya

Very soon it will be no more..so its doesn't bother me.

I do not have any bad feelings though, I lived at Lang'ata Estate b4, and I walked to Kibera once. I know the place. I saw chang'aa drinkers there.
 
Hayo ndio mambo tunataka kusikia sio watu wazima kuwa bungeni kwa habari ya kura ya wazi au siri. Karne hii inatakiwa kufanya mambo ya kisayansi.

Nahisi Tz ingepata viongozi makini kama Kenya nchi ingeweza kufikia mbali hata first world. Ufisadi umerudisha TZ nyuma sana. Kila siku utasikia wizi wa mali ya umma kila mahali. Maendeleo yatatokea wapi kwa ubinafsi wa aina hiyo?

Siku wezi na wizi wa mali ya umma utakapozuiwa, TZ yaweza kupata maendeleo kama ya Kenya
 
Kibera is waaaay better than Manzese Uwanja wa fisi or Mwananyamala kwa kopa.....Waaay better than your dangerous slums

Oh so those are the only places you could afford to live while you were in Tanzania?
 


This is what our neighbours don't want us to know.

Mimi nadhani hakuna nchi ilo perfect 100% ..haya ya chokoraa hata Marekani upo juu ya kuwa taifa lenye nguvu za kiuchumi duniani..
Hii ni sababu ya policy za nchi ..kama utakumbuka baada ya Katrina , kule New Orleans ni namna gani tuliona umaskini wa kutosha kwa watu wa kule...ni kuliko kibera au maeneo mengine ya africa.

Hapa wakenya wanajaribu kuonesha maendeleo yao na matarajio ...na wana jisifu kwa hilo.
Hatuwezi kujibu kwa kuonesha sehemu dhaifu ...wana jitahidi na wapo juu na ni wachapa kazi..
 
SPRING VALLEY

SOLITARE APARTMENTS

This is a luxurious development consisting of 24 high end 4 bedroom duplex apartments.

Funny thing is,the units were already sold out before construction begun.
 
I do not have any bad feelings though, I lived at Lang'ata Estate b4, and I walked to Kibera once. I know the place. I saw chang'aa drinkers there.
U love kibera mens no wonder u mention it even when sleeping.
 
MK254
And this, is my new big house project that construction begun soon in Magufuland... [emoji85]
 
Acorn intends to develop a retail sub-urban mall that will provide approximately 440 000 sq.ft of retail space in Machakos county. The development will comprise of an innovative public transport terminus,formal and informal retail hybrid spaces,entertainment and events spaces,generous parking and a clearly detailed arrival experience. The mall is developed as a response of the growth of SMEs,informal sector and the middle class.

 
KoNZA TECHNoCITY

EVERGREEN CITY

A property investment firm has lined up a mixed-use development 11km from the planned Konza technocity,positioning it as a suburb that will match the needs of the technocity. Sitting on 75 acres. Evergreen City-Konza sits 6km from the proposed Konza high-speed Railway Station,raising prospects of affordable transport.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…