Miradi mikubwa inayoendelea Kenya

But loving the parliament Towers!!! Does anyone has specific renders ya how it will look upon completion!??
 
i think isaw tha render few months ago kwa hiyo cover ilikua imesurround during excavation if it is the building opposite parliament harambee avenue
 
Habari za hivi punde ni kwamba harakati za piling zimeshaanza katika ujenzi wa gorofa ndefu Africa Nzima,kwenye kilima[prow] Upperhill mjini Nairobi.



__________________



Meinhardt Group










__________________
 
Westlands pia,ni mtindo huo huo.Avic international imeshaanza harakati za ujenzi wa gorofa ndefu sita ,complex ambayo itakua HQ ya AVIC Africa nzima.




source




Main Tower and Hotel Tower











__________________
 
Lemac tower in westlands is now under full glass cladding







__________________
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…