Miradi mikubwa inayoendelea Kenya

wapi kenya umesikia njaa hata turkana wameshiba.hapa kazi tu.mwaka ujao sgr lko nai mambo teke teke.
 
Hujui unachosema amerika kama sio dola yao wangekuwa pabaya.wao wana print dollars utadhani vijitabu na ndo inatumika na wanunuzi wa crude.
Basi vizuri, kama ndivyo wacheni kuiga kila kitu toka kwao. Msiwe mnaamini kama lazima mpite walimopita wao.
Wenzako hapa kila saa america is doing this, sijui is doing that,
Yaani mmekuwa cowards,
Yaani tabu tupu utadhani america ni Mungu..
 

Inanitatiza kutofautisha vilaza na wasomi Bongo, maana unaona mtu atatoa comment inayodhihirisha amesoma halafu baadaye anatiririka na comment inayomshusha kabisa kielimu. Nalazimika kujishusha kielimu ili nikujibu.

Anyway tulia naendelea kuwapa taarifa za miradi ya Kenya. Hii nchi kwenye miaka mitatu ijayo hamtaweza kuitambua tena.
 
Mwenye Elimu hawezikuwa kama huyu mpenda misifa

Wakenya wenye akili hawapo kana huyu koko
 
Ukweli Mchungu,uko sawa MK 254 sie ata ile tenda ya kufunga mashine za kuchukua alama za vidole imetushinda ,ni ufisadi kila mahali uzalendo hakuna tena.
 
Ukweli Mchungu,uko sawa MK 254 sie ata ile tenda ya kufunga mashine za kuchukua alama za vidole imetushinda ,ni ufisadi kila mahali uzalendo hakuna tena.
Kukubali upungufu wenu ndo njia moja ya kusonga mbele.naipenda kenya sababu hapa hamna kitu utaficha.kama ni mwizi basi kila mtu anajua.
 
Ujenzi wa makazi ya kisasa Mombasa
 
Upanuzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa, Kisumu



The Sh600 million expansion of Kisumu International Airport will be completed by early next year, managing director Joseph Okumu said yesterday.

Okumu said the expansion will elevate the airport from class C to D and E, with a runway like that of Jomo Kenyatta International Airport.

The phase two involving upgrade works started last December and will enable the airport to accommodate bigger aircraft.

Okumu said the expansion contracted to China Overseas Engineering Group Company will unlock many business opportunities.

Speaking to the Star in his office, he said the airport had earlier been refurbished to international standards for Sh3 billion.

Okumu said ongoing works include strengthening and extension of the runway and building shoulders.

The the 3.3km runway width will be extended from 45 to 60m, he said.

Okumu praised the contractor for quality work since they started the rehabilitation in 2008.

He urged the company to focus on thickness and strengthening of the runway.
Sh600m expansion for Kisumu airport
 



Chinese firm to build 43-storey block in Nairobi
PRINTRATING

By John Gachiri

Posted Tuesday, July 21 2015 at 20:49


Aviation Industry Corporation of China (Avic) International Real Estate is developing a 43-storey office block and a five-star hotel in Westlands, Nairobi.

The hotel will have 35 floors. A 25-storey apartment complex will also be build next to the hotel. All the developments will be build on a 7.5 acre land and cost Sh20 billion.

“The location of the hotel tower, which has been proposed to be on the northern side of the eastern plots, open to Westlands Road, was considered due to the calm and quiet location,” says the environmental and social impact report on the project.

READ: City Hall approves construction of Sh10bn Avic complex

Tamarind Group is also putting up a hotel. The firm is set to open a four-star hotel in Nairobi next to its flagship Carnivore Restaurant in the second half of next year.

The hotel management company said that the facility will have 162 rooms and is targeting the growing number of business travellers.

“The Tamarind Tree Hotel will be a modern concept hotel, imbued with an African flavour which will incorporate innovative features to suit the needs of the business and leisure traveller,” said Tamarind in a statement.

The hotel is part of five management deals that the hotelier signed with investors last year.

The hotel announced at the time that it had signed deals to manage properties for investors who buy suites in Osotua Tamarind Tree in Naivasha.

Similar deals were struck for Tamarind Migaa in Kiambu, Tamarind Tree Suites (Rosslyn, Nairobi) and Tamarind Tree Residence (Ngong Road, Nairobi).

Chinese firm to build 43-storey block in Nairobi
 
Bomba la mafuta kutoka Mombasa hadi Nairobi, linatazamiwa kufika Uganda.

 
Ila hawa kweli wana roho mbaya...Rais wao alienda Ufaransa kuwashawishi wapitishe bomba Lamu...lakin baada ya muda kidogo tu Al Shabaab wakafanya yao kituo cha Polisi

Hehehe!! Kwa hiki ulichiandika hapa, hebu jipe maksi una roho mbaya kiasi gani. Unaposhabikia ugaidi hala mnategemea tusiwadharau??? Kwa kweli tutazidi kuwaona wa ovyo kabisa na miaka yote.
 
The republic of Nairobi
Naona kila kitu Nairobi. Hahaha!!
I like that..
Is galana in Nairobi?
Is Kisumu International Airport in Nairobi?
Is sgr passing through Nairobi alone?
Is Mombasa Train Station in Nairobi?
Is Tatu city in Nairobi?

Come on, get a life....
 


Samm999 hiyo ramani inaonyesha jinsi tumezungukwa na umaskini wakati sisi tunang'aa, hata sleeping giant limelala fofofo!!
Acheni ufala uona haya ndio maisha ya wake ya Maskini mpaka basi
 

Attachments

  • ___ northern Kenya killed at least 10 people on Saturday, police said.jpg
    9.8 KB · Views: 131
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…