Tanzania yavutia Wawekezaji kutoka Marekani Miradi ya LNG,Mahenge Graphite na Kabange Nickel
Miradi ya kimkakati ya LNG, Mahenge Graphite na Kabanga Nickel inaendelea kuvutia wawekezaji kutoka Marekani, ikiashiria fursa kubwa katika sekta ya nishati na madini nchini Tanzania. Uwekezaji huu unatarajiwa kuchochea uzalishaji, kuongeza ajira, kukuza mauzo ya nje na kuimarisha ushiriki wa Tanzania katika minyororo ya thamani ya kimataifa.
Hapo Kabanga wawekezaji wako wapi? Wanakujaga na kuondoka, tumefanya sana exploration pale miaka na miaka wanabadilikaga tu wawekezaji na mikakati miingi mara haooo hatuwaoni tena sijui ni soko la nickel linasumbua