Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,662
Inategemea ndugu mradi wa aina gani wa maji unaouzungumzia, maji taka, maji ya chupa ama maji kivipi? maji yanasambazwa kama commodity kwa mitindo tofauti. pambanua ndugu, mafundi wapo humu watatoa nasaha
Maelezo yako hayajajitosheleza kama alivyosema mkuu Kitope,data za aina gani unazohitaji na miradi ya nature gani ya visima,earth dams (lambo) ukubwa wa mradi kwa thamani au complexity funguka mkuu.
Miradi ya maji safi iliyowahi kutekelezwa na serikali au donors, ambayo coverage yake ni nchi nzima, zone au angalau mkoa. Data ninazohitaji ni mradi ulianzishwa na nani, lini, uliendeshwaje, ulifanikiwa kwa kiasi gani, ulikumbana na matatizo yapi, sustainability ya huo mradi au kama ulikufa kwa nini na data zingine zinazohusiana au kukaribiana na hizo nilizozitaja.