Miradi mingi ya Magufuli haina tija? Ni white elephant?

Mleta mada sio Mtanzania, nina uhakika kabisa.
 
Hiyo white elephant mbona sijaiona..au Uzi bado unaendelea kufumwa
 
Waangalie wanaosifia hiyo miradi ya magufuli,either ni akina makonda na Muro au watu wenye elimu ndogo na wakosa exposure,Flyover ya Tanzania was wastage of our money,same will happen pale ubungo,nilitegemea ubungo inajengwa interchange but kinachojengwa pale kwa sasa anakijua magufuli na serikali yake,kuhusu ndege I strongly believe rais ajaye atazipiga mnada.kwa ufupi,Magu na ccm ndo tatizo kubwa la nchi yetu kwa sasa
 
Hii miradi niya watanzania au hao watu wa duniani?sasa kama mtu anataka kufanya biashara na wewe,especially mtu ambaye kwake faida ni kipaumbele kuliko kitu chochote unategemea akuambie pesa unatumia vibaya?Au tusaidie pamoja na makandokando na ufisadi wa ccm kwa miaka mingi ni lini wamewahikutuambia tunatumia pesa vibaya?
 
Huyu kavaa nguo kweli, mkuupunguza bange
 
Uekewa wako ni sawa na wa tembo,mwili mkubwa ilaakili kidogo. Pesa za ndani haimaanishi unachukua heladai mwako. Mikopo pia ni fedha za ndani. Pesa ya wahisani ni misaada
 
Uekewa wako ni sawa na wa tembo,mwili mkubwa ilaakili kidogo. Pesa za ndani haimaanishi unachukua heladai mwako. Mikopo pia ni fedha za ndani. Pesa ya wahisani ni misaada

Nyie ndio wajinga mliojazana kwenye hii nchi kwa sasa, pesa ya mkopo ni pesa ya ndani? Ukishindwa kulipa? Kwa hiyo ukienda kukopa bank unamwambia mkeo/mumeo kuwa hizo hela unazotumia ni mshahara wako na sio mkopo?
 
Tanzania inatumia pesa zake yenyewe, Mbona deni linazidi kupanda, au serikali inakopa hela kwa ajri ya kulipa mishahara wafanyakazi
 
Mbona simple tu, hilo la viwanda 4000 vipo bwana. Nchi hii haikosi cherahani 16,000 na tumeambiwa cherahani 4 ni kiwanda, sasa fanya hesabu mwenyewe hapo hupati viwanda 4000? Hapo bado saluni za kunyoa nywele, nazo kuna mbunge alisema ni viwanda. Hii ni nchi ya vi-wonder bwana, tuunge mkono juhudi.
 
mkuu achana na hawa wachumia tumbo wa ufipa ambao hata jengo la makao makuu ya chama wamepangisha.
pamoja na kupata ruzuku ya mamilioni kwa kila mwezi.
viva JPM 2025[emoji1241][emoji818]
 
Kwahyo ulitaka akamjengee nyumba mamaako na babaako ndio ungeona amefanya la maana.. Pumbaaaf
 
Hakuna kama Magufuli. Sio kwamba namkubali sana katka mambo fulani lakini kwenye ustawi wa nchi ni namba moja. Huyu raisi ni mfia nchi namba moja.

Tanzania idumu milele.
 
Kweli mkuu ulichoongea mradi wa SGR ni akuna kinachoendelea hapa inajidhihirisha kuna upigaji mkubwa zaid naona mradi unasuasua
 
Eheeeeeee
 
Kahamishaia watu wrote Dodoma yeye yuko dar pale ferry
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…