Umeweka maneno mengi huku ukikwepa hoja yangu ya msingi, nimesema kama hii miradi ni ya pesa za ndani kwanini deni la taifa limepaa kiasi hicho? Suala la kukopa hakuna mwenye tatizo nalo maana huo ndio uhalisia. Halafu hizo data zinazotolewa na mawaziri sio za kuziamini sana, kwa sababu serikali hii inapika sana data ili kuhadaa umma kuwa mambo ni mazuri. Uchumi kukua kwa asilimia 7 nako ni utata mtupu, nakumbuka world Bank walitaka kuweka taarifa ya ukuaji wa uchumi ikawa ni mvutano wa hali ya juu. Hayo yote ni udhibitisho kuna utata mkubwa.
HAHAHAAA yaani wanapiga bomu Mochwari alafu wanajisifu wameua.Mnatumia pesa za ndani, sasa kinachofanya deni la taifa liongezeke kwa kasi ni nini? Danganyeni wengine, hakuna cha miradi wala nini zaidi ya teni pasenti za Jiwe, miradi yote ni hewa tupu, feki tupu.
Sasa kama ni hivyo kwa nini mnaogopa uchaguzi. Si muwaache wapinzani wenyewe waunde tume ili muwaumbue kwenye uchaguzi huru na haki.Mkuu Data za WB na IMF zinasema hivyo uchumi kwa miaka kumi iliyopita ndiyo hiyo plus minus 7% sasa weka za kwako tulinganishe uchumi unakua kwa asilimia ngapi? SGR phase I Dar Morogoro ni pesa za ndani hakuna aliyetukopesha. Kama una uhakika nani katukopesha weka hapa. Barabara njia nane kutoka Dar to Chalinze pesa za ndani etc. Data zipo BOT kama una ushahidi data zinapikwa weka hapa tujadili nani kapika na Je, kama amepika ameivisha kama pilau? Hakuna mradi wowote ambao ni ''white elephant? kama upo weka hapa, utaje maana tunazunguka mbuyu tu.
As far as I know, Wilayani kote Tanzania hivi sasa kuna Hospitali ya uhakika na bado zingine zinajengwa. Umeme kila kijiji kitapata umeme katika Afrika we are the leaders, maji safi kila mahali awamu hii ya 5 inaboresha achilia mbali miundo mbinu ya barabara etc. nafahamu tulikotoka hakukuwa na Serikali iliyokuwa inakiri nini inafanya lakini awamu hii mambo yako wazi. nawashauri doubting Thomas's wafungue macho na wanuse kahawa. Get out and smell the coffee.

Kweli mkuu, hata mimi hua napata taaabu sana napopita eneo hilo.Kwenye ilo daraja la mfugale upo sahihi ni moja ya mradi wa kipumbavu sana njia ya kutoka buguruni kwenda magorofani kulitakiwa rotation ya highway sio magari kusimama kweny mataa.
Hilo nalo ni zaidi ya waraka kwa Waebrania mkuu.Eeenh, 'Tindo', hawa watu ni 'wasomi', wamehitimu na wana digrii au diploma zao; lakini bado huwaambi lolote kuhusu taarifa za upotoshaji kama hizo.
Na Jiwe anajuwa watu hawa wapo wengi ndani ya nchi hii, ndio maana haoni aibu kuendelea na upotoshaji anaoufanya kama wa 'ujenzi wa viwanda 4,000', tokea achukue madaraka!
Na kwa kuwa amewatia woga watu na kujitungia sheria za ukandamizaji, hakuna mwandishi wa habari yeyote anayeweza kuchunguza juu ya taarifa hiyo na kuiandikia makala. Huyu Jiwe nikama alijiandaa maisha yake yote kupanga jinsi ambavyo angefanikisha mipango yake ya upotoshaji pindi alipopewa madaraka. Kila kitu kimapangiliwa kimkakati.
Wakate tu ila ukweli ndo huoMtakuja kukatikiwa na umeme mpo Ruvu station
Inapigwa sana tu ila kimyakimya zaidi kuliko awamu ilyopitaHuamini alichosema jamaa. Miradi ya jiwe imejaa upigaji. Subiri atoke pale jumba jeupe ndiyo utakapojua mmeibiwa kiasi gani
💀💀💀💥bongo lalaWanandugu.
Serikali ya awamu ya 5 imejipambanua kama ya wanyonge na imekuja na miradi lukuki inayotafuna mabilioni ya pesa za walalahoi, lakini miradi hii haina na wala haionyeshi dalili ya kuwa na tija yoyote huko mbeleni. miaka mitano hiyo inakatika tunapigwa porojo lakini mabilioni yanateketea.
Daraja la Mfugale
Huu ni mradi wa hovyo niliowahi kuuona na unareflect hisia kwamba utawala huu umejaa ubinafsi.
Daraja limejengwa kimkakati kuwapa upendeleo wanasiasa wanaowahi ndege airport.
Wanyonge wanaotoka na kwenda Tandika na maeneo mengine ya Temeke inawachukua wastani wa dakika 45 kuvuka Tazara, ni kero kuliko ilivyokuwa kabla halijajengwa.
Rais ajae alibomoe ndani ya siku 100 lijengwe upya watu wote walifaidi.
SGR
Huu mradi miaka minne sasa inaenda mitano hakuna cha maana zaidi ya kuona minguzo na minondo tu inasimikwa kila siku.
Nguzo zenyewe zinaonekana kujengwa sehemu zinazopitwa na watu wengi ionekane kuna kitu kinajengwa kumbe ni uzugaji.
Ndege
Kila nikilitizama anga naona ndege za biashara ni zilezile tu: SwisAir, Turkish, Emirates.
Hizi za Rubondo island mbona hatuzioni zinabeba nini kwenda wapi?
Dar es salaam
Huu ni mji lakini ni mradi tosha. Toto pendwa hajatatua hata kero moja; foleni, maji, mafuriko na hata usafi siku za jumamosi umemshinda.
Miaka mitano inakatika bado miradi inayowapa unafuu watanzania inabaki kuwa ile ile iliyobuniwa awamu zilizopita; daraja la Kigamboni, mwendokasi, shule za kata, barabara za lami kila kona, treni za Mwakyembe, watu wengi wameajiriwa sekta binafsi awamu zilizopita.
Sasa huu utawala kuna mradi gani wa maana umefanya ukafanikisha? Muda unaenda miaka mitano hiyo inakatika jamani.
Sawa, nimekuelewa. Ila hili la kusafiri haraka zaidi, labda waondoe speed gavana mkuu. Hii ya kutumia siku mbili kutoka dar-mwanza kwa umbali wa 1140km ni kujichosha kabisaSerikali hii inaimarisha miundo mbinu ili kuwezesha kutatua matatizo ya nishati kwa mfano, mradi wa mwl Nyerere ukiisha umeme utakuwa wa bei nafuu kwa Watanzania. Njia kuu za uchumi kuimarishwa yaani barabara za uhakika na kupunguza safari (Unasafiri kwa haraka zaidi) unaweza kuuza bidhaa zako mapema na kufanya shughuli nyingine za kuinua uchumi wako binafsi nk. Kuongeza pato la Taifa kuwawezesha Watanzania kuishi maisha nadhifu zaidi. Kuimarisha mfumo wetu wa elimu nk. Keki ya taifa kufaidisha kila mtanzania sio wachache tu.
Mkuu Data za WB na IMF zinasema hivyo uchumi kwa miaka kumi iliyopita ndiyo hiyo plus minus 7% sasa weka za kwako tulinganishe uchumi unakua kwa asilimia ngapi? SGR phase I Dar Morogoro ni pesa za ndani hakuna aliyetukopesha. Kama una uhakika nani katukopesha weka hapa. Barabara njia nane kutoka Dar to Chalinze pesa za ndani etc. Data zipo BOT kama una ushahidi data zinapikwa weka hapa tujadili nani kapika na Je, kama amepika ameivisha kama pilau? Hakuna mradi wowote ambao ni ''white elephant? kama upo weka hapa, utaje maana tunazunguka mbuyu tu.
As far as I know, Wilayani kote Tanzania hivi sasa kuna Hospitali ya uhakika na bado zingine zinajengwa. Umeme kila kijiji kitapata umeme katika Afrika we are the leaders, maji safi kila mahali awamu hii ya 5 inaboresha achilia mbali miundo mbinu ya barabara etc. nafahamu tulikotoka hakukuwa na Serikali iliyokuwa inakiri nini inafanya lakini awamu hii mambo yako wazi. nawashauri doubting Thomas's wafungue macho na wanuse kahawa. Get out and smell the coffee.
Tuombee mema mradi wa mkuluWakate tu ila ukweli ndo huo
Tumeyataka wenyeweInapigwa sana tu ila kimyakimya zaidi kuliko awamu ilyopita
FactBado hatujapata mtawala tunayetakiwa kuwa naye, baada ya Uhuru tumekua na msururu wa wapigaji. Pamoja na hayo kwa haya yanayotendeka awamu hii yanafunua jinsi gani awamu zingine zote upigaji ulivyokua umeshika hatamu. Afadhali tuzione kodi zetu kupitia miradi feki ya madaraja, ndege, umeme, barabara, serikali kuhamia Dodoma nk, inayoonekana kuliko hiyo miradi ya mafichoni huko USWIZI, UARABUNI, SOUTH AFRICA NA MAREKANI. Ambayo mafisadi wachache walikua wanafaidi mafichoni
Hii mijamaa inayopiga kelele ndo ilikua kila siku iko ulaya, Dubai nk ikila hela zetu
Acha kunichekesha boss, unasema naseme nani katukopesha hela za reli ya Dar- Morogoro, kama tu kusema tunakopa inakuwa nongwa utatajiwa ni upi mradi wa mkopo na kiasi. Mradi wa hiyo reli kadirio ni 7.5t, hiyo Dar -moro yenyewe sio robo ya mradi, sasa hapo kuna la kujisifia wakati 80% itakuwa ni mkopo? Sina popote niliposema hiyo miradi ni white elephant labda urudi kwenye aliyesema hilo, huenda unabishana ili kusaka ushindi mpaka unajichanganya kwenye wale unaojibizana nao. Mimi nimesema kama miradi ni ya fedha za ndani iweje deni la taifa liwe kubwa hivi? Sasa kama watu wanasema miradi ni ya fedha za ndani wakati ukweli ni mikopo, unataka niende bank kuu nikaulize nini?
Hizo hospitali na vituo vya afya mnavyojisifu navyo, vyote kwa pamoja havivuki 400b, kwani vingi ni vya shilingi 1.5b kwa wastani. Kwa hiyo idadi ya vituo isikutishe bali kiwango cha hivyo vituo. Huo mradi wa umeme ni muendelezo tu wa kilichoanzishwa awamu iliyopita kwani kuna mfuko wa REA kila ukinunua umeme unakatwa 3%. Hii ndio tunataka kujua hilo deni la taifa linalopaa hivyo linatoka wapi wakati fedha ni za ndani? Sioni ukijibu hilo zaidi ya kuleta porojo.
Sasa kama ni hivyo kwa nini mnaogopa uchaguzi. Si muwaache wapinzani wenyewe waunde tume ili muwaumbue kwenye uchaguzi huru na haki.