Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Nimesikia mara kwa mara kuwa, Bwawa la Stiglers likikamilika tutakuwa na umeme wa ziada hata wa kuuza.
Sasa nilisikia kupitia TV TANESCO wanatangaza mpango wao wa kuanza ujenzi wa mradi mpya wa maji huko Kagera/Kakono wa mabilioni ya pesa nikashindwa kuwaelewa
Naomba ufafanuzi kwa anaye elewa
Sasa nilisikia kupitia TV TANESCO wanatangaza mpango wao wa kuanza ujenzi wa mradi mpya wa maji huko Kagera/Kakono wa mabilioni ya pesa nikashindwa kuwaelewa
Naomba ufafanuzi kwa anaye elewa