Miradi NSSF

Miradi NSSF

President Elect

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
693
Reaction score
212
Miradi mikubwa miwili chini ya NSSF yenye thamani ya mamilioni ya dola za marekani, imeiweka juu NSSF kwa kuthubutu na kutekeleza kile ilichodhamiria katika mipango yake!

Angalizo; ceteris peribus, i.e. all other factors remain constant, otherwise likitokea janga la kitaifa kama escrow ndani ya NSSF, itakuwa kilio na maumivu makubwa kwa wanachama wa mfuko huo na familia zao!

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki NSSF na mega projects zake, especially www.degeecovillage.com bila kusahau http://pm.ace-mb.com/assets/52_KigamboniBridge_02-640x480.jpg
 
Shirika pekee ndan ya nchi hii linaloongozwa na watu wenye weledi wa hali ya juu kabisa

Hongereni NSSF
 
hawa jamaa kidogo wapo serious hawana ubabaishaji kabisa natamani Tanesco waige
 
Inawezekana huyu Bw. Dau akipewa nafasi ya umakamu wa rais ataweza kuongeza kasi ya ukuaji uchumi wa Taifa letu!
 
Back
Top Bottom