Miradi ya kimkakati Chato inaendeleaje?

Miradi ya kimkakati Chato inaendeleaje?

malang0

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2021
Posts
440
Reaction score
523
Napenda kuulizia ile miradi mikubwa iliyopangwa au kujengwa wilayani chato vipi inaendeleaje au ndiyo imeondoka na Mwendazake?

Watendaji wake kwa unafiki mkubwa na upendeleo walipigia sana chapuo miradi hii ikiwemo uwanja mkubwa wa michezo, hoteli kubwa ya hadhi ya nyota tano.

Wanachato tujulisheni maana hata hii wilaya imeanza kusahaulika na wananchi.
 
Back
Top Bottom