Miradi ya Kimkakati SGR, Stiglers Kuchelewa Kwa sababu ya Uhaba wa Dola

Usiwaamini hawa jamaa wao kila siku wanatafuta vizingizio vipya
 
Hizi ni porojo za watawala hasa pale wanapoona mambo yanaharibika hupenda sana kuweka statement za jumla jumla kama huzi
 
Wakae mezani wachague aina nyingine ya fedha. Sio lazima USD.

Naona mnaanza kuleta janja janja ya kushindwa kutekeleza miradi kwa wakati.
Uhapa wa dolla ndo umefanya walambe hadi reserves yetu .rais asiyejua kutafuta anajua kutumia ,hata alichoacha baba
 
Kwamba wale watalii walioongezeka maradafu baada ya Royal Tour na Zile safari ambazo kila siku eti mama anazunguka kutupambania hazileti Dollar ?!!!!

Nadhani kwa talent ya Usanii Bongo tunge-invest kwenye Tamthiliya
Nakubaliana na ww utawala ulifilisika hutafuta sababu nyepesi nyepsi kam hizi
 
Hivi kupanda kwa dollar kuna athari yoyote kwa akiba za 'pesa madafu' zilizoko benki?
Kwakifupi hata mshahara wako unapoteza thamani. Unaweza kudanganywa na nyongeza lakini mfumuko wa bei ukawa mkubwa kuliko nyongeza.

Na mbaya zaidi serikali ilijaribu kuongeza fedha za madafu kwenye mzunguko kwa kupandisha mishahara zaidi basi na thamani ya shilingi inaporomoka zaidi.
 
Viongozi waliopewa dhamana na watanzania wanamikakati gani mpaka sasa katika kunusuru sarafu yetu? Au ndiyo CCM imezeeka?
 
Kwamba wale watalii walioongezeka maradafu baada ya Royal Tour na Zile safari ambazo kila siku eti mama anazunguka kutupambania hazileti Dollar ?!!!!

Nadhani kwa talent ya Usanii Bongo tunge-invest kwenye Tamthiliya
Usanii unaanziaga jikoni kabisa kwenye jumba la dhahabušŸ˜€
 
Hawa Huwa hawatafuti solution au hata kukiri tatizo lipo, watakuja na statement za kupinga na kukataa tatizo na Kusema ni upotoshaji
 
Upo vizuri,hakika unaufatilia mgogoro wa kuiondoa dollar.
 
Tatizo la dola limeanza mwaka huu tu hata miezi sio mingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…