Kuanzia kipiindi cha awamu ya tano kumekuwa na trend kubwa mno ya kuipa miradi majina ya viongozi, Hii inakoelekea ni kubaya sana.
Miradi inajengwa kwa kodi wanazolipia wananchi na madeni wanayolipia wananchi, Sioni sababu ya kuita miradi majina ya viongozi unless wao wawe wametoa hela mifukoni mwao.
Miradi ipewe majina ya utaifa mfano majina ya rasili mali tulizobatikiwa nazo, majina ya kuleta umoja, n.k.
PIA SOMA
- Nidhamu katika Matumizi ya Kodi za Wananchi kwa Serikali na Viongozi wa Umma