tazama hii habari ya yaliotokea na yanaendelea kutokea Kigamboni, Bunju, Mabwe Pande na kwinginekoFafanua zaidi ni maeneo gani, wamiliki halali ni kina ni kina nani na viongozi hao ni wapi ili tukusaidie.
Leo Waziri wa Ardhi ameumbuka mbele ya DC mpya wa Kinondoni baada ya kugundulika kuwa yote waliyosema Waziri na timu inayohusika Kwembe sio ya kweli hata kidogo. Mhe alikuwa amechepuka kutoka katika kikao cha bunge kule Dodoma kuja kuiongezea nguvu timu yake ili ifanikiwe kuanza zoezi la ugawaji (kuuza) viwanja. Kama kawaida timu ya Wizara ilimpika DC huyu kijana kwa zaidi ya saa tatu ikiwa ni pamoja na kuipachika majina kamati ya wananchi kuwa wakorofi na wanatumiwa na vyama vya siasa. Baada ya kikao kuanza Mhe aliwashukuru sana wanakamati kwa ushirikiano na kutangaza kuwa viwanja 730 vilikuwa tayari vimeshapimwa na vitaanza kugawiwa wakati wowote, na vingine 450 vilikuwa vinaendelea kupimwa. jina la mradi ni MRADI WA UPIMAJI VIWANJA 600 KWEMBE KATI. Baada ya hizo porojo kamati ilimtaka Mhe awape shukrani watumishi wa wizara ma polisi walioshirikishwa ktk upimaji huo. Wajumbe wa kamati walimshukia waziri mbele ya DC kijana kuhusu uozo na rushwa vilivyofanyika kiasi cha yeye mwenyewd kukubali kutangaza kuwa hakuna hata mtu mmoja asiyekuwa muathirika wa kuhamishwa kupisha mji wa mfano wa Luguruni na wakazi waliopo ktk eneo hilo ndio tu wanaostahili viwanja Kwembe Kati. Changamoto iliyobaki ni kuhakikisha eneo lililotengwa linatoa viwanja 600 kama ilivyokusudiwa na si vinginevyo. Kazi ambayo tunaamini DC kijana ataiweza. Poleni sana mlioliwa fedha kwa ahadi kuwa mtapata viwanja Kwembe. Kama ukombozi wa wanyonge uliwezekana Luguruni. Na sasa Kwembe. Naamini hata Kigamboni na kwingineko itawezekana. Dawa pekee ni kuacha kuamini porojo za huyu Mhe Waziri
mkuu Luguruni ipo Kibamba kama unaelekea Kibaha. Ni Manispaa ya Kinondoni. Wale mafisadi walivyomaliza kuwadhulumu wazaramo ardhi yao wakapata kiulaini viwanja 20000, ambavyo walijilimbakizia kwa kwenda mbele. Ndipo wakahamia huku kuanzisha kitu wanaita mji wa mfano wa kwanza hapa nchini. Fidia walilipa Shs 300 kwa sq mita wao wanauza shs 30000. Sasa wanehamia kigamboni. Kwembe ni eneo linalopakana na hicho kituo na mbele yake kidogo kitajengwa Chuo Kikuu cha Muhimbili. Ndo mafisadi wote wanataka kujilimikisha eneo hilo. Ishakuwa DECI ingine kwa waliotoa fedha zao
Leo Waziri wa Ardhi ameumbuka mbele ya DC mpya wa Kinondoni baada ya kugundulika kuwa yote waliyosema Waziri na timu inayohusika Kwembe sio ya kweli hata kidogo. Mhe alikuwa amechepuka kutoka katika kikao cha bunge kule Dodoma kuja kuiongezea nguvu timu yake ili ifanikiwe kuanza zoezi la ugawaji (kuuza) viwanja. Kama kawaida timu ya Wizara ilimpika DC huyu kijana kwa zaidi ya saa tatu ikiwa ni pamoja na kuipachika majina kamati ya wananchi kuwa wakorofi na wanatumiwa na vyama vya siasa. Baada ya kikao kuanza Mhe aliwashukuru sana wanakamati kwa ushirikiano na kutangaza kuwa viwanja 730 vilikuwa tayari vimeshapimwa na vitaanza kugawiwa wakati wowote, na vingine 450 vilikuwa vinaendelea kupimwa. jina la mradi ni MRADI WA UPIMAJI VIWANJA 600 KWEMBE KATI. Baada ya hizo porojo kamati ilimtaka Mhe awape shukrani watumishi wa wizara ma polisi walioshirikishwa ktk upimaji huo. Wajumbe wa kamati walimshukia waziri mbele ya DC kijana kuhusu uozo na rushwa vilivyofanyika kiasi cha yeye mwenyewd kukubali kutangaza kuwa hakuna hata mtu mmoja asiyekuwa muathirika wa kuhamishwa kupisha mji wa mfano wa Luguruni na wakazi waliopo ktk eneo hilo ndio tu wanaostahili viwanja Kwembe Kati. Changamoto iliyobaki ni kuhakikisha eneo lililotengwa linatoa viwanja 600 kama ilivyokusudiwa na si vinginevyo. Kazi ambayo tunaamini DC kijana ataiweza. Poleni sana mlioliwa fedha kwa ahadi kuwa mtapata viwanja Kwembe. Kama ukombozi wa wanyonge uliwezekana Luguruni. Na sasa Kwembe. Naamini hata Kigamboni na kwingineko itawezekana. Dawa pekee ni kuacha kuamini porojo za huyu Mhe Waziri
Leo Waziri wa Ardhi ameumbuka mbele ya DC mpya wa Kinondoni baada ya kugundulika kuwa yote waliyosema Waziri na timu inayohusika Kwembe sio ya kweli hata kidogo. Mhe alikuwa amechepuka kutoka katika kikao cha bunge kule Dodoma kuja kuiongezea nguvu timu yake ili ifanikiwe kuanza zoezi la ugawaji (kuuza) viwanja. Kama kawaida timu ya Wizara ilimpika DC huyu kijana kwa zaidi ya saa tatu ikiwa ni pamoja na kuipachika majina kamati ya wananchi kuwa wakorofi na wanatumiwa na vyama vya siasa. Baada ya kikao kuanza Mhe aliwashukuru sana wanakamati kwa ushirikiano na kutangaza kuwa viwanja 730 vilikuwa tayari vimeshapimwa na vitaanza kugawiwa wakati wowote, na vingine 450 vilikuwa vinaendelea kupimwa. jina la mradi ni MRADI WA UPIMAJI VIWANJA 600 KWEMBE KATI. Baada ya hizo porojo kamati ilimtaka Mhe awape shukrani watumishi wa wizara ma polisi walioshirikishwa ktk upimaji huo. Wajumbe wa kamati walimshukia waziri mbele ya DC kijana kuhusu uozo na rushwa vilivyofanyika kiasi cha yeye mwenyewd kukubali kutangaza kuwa hakuna hata mtu mmoja asiyekuwa muathirika wa kuhamishwa kupisha mji wa mfano wa Luguruni na wakazi waliopo ktk eneo hilo ndio tu wanaostahili viwanja Kwembe Kati. Changamoto iliyobaki ni kuhakikisha eneo lililotengwa linatoa viwanja 600 kama ilivyokusudiwa na si vinginevyo. Kazi ambayo tunaamini DC kijana ataiweza. Poleni sana mlioliwa fedha kwa ahadi kuwa mtapata viwanja Kwembe. Kama ukombozi wa wanyonge uliwezekana Luguruni. Na sasa Kwembe. Naamini hata Kigamboni na kwingineko itawezekana. Dawa pekee ni kuacha kuamini porojo za huyu Mhe Waziri
Jatropha
Hongereni. Vipi mahakama iliamuaje kuhusu zuio?
Kuna masuala mbalimbali ya kuyatafakari katika hili hali: JJ: Ardhi na Maendeleo ya mgeni njoo mwenyeji akonde!
Songeni mbele mpaka kieleweke
JJ
Stori haieleweki
Nawashukuru wana JF. Habari kamili ipo kwenye Habari Mchanganyiko Title UPORAJI WA ARDHI na Siasa Title SIRI KUU YA KUUZA KIGAMBONI HII HAPA. Fuatilia makala ya MIRADI YA WIZARA YA ARDHI INACHOCHEA UMASKINI ktk gazeti la Fikra Endelevu kila Jnne. Ni kweki ktk kutafu ta haki wanakwembe walienda mahakamani lakini bado hawajapata stop order. Nakushukuru Kituko kwa ufafanuzi wako mzuri. Baada ya Luguruni na Kwembe Wizara itahamia Kigamboni, Pugu Kajiungeni, Bunju. Mji Mwewa. Kongowe nk. Kama tuliweza kuwabana wakaongeza Fidia Luguruni na sasa hivi tunavyowabana Kwembe hivyo wakazi wa maeneo hayo wajitayarishe kupambana HAKI HAIPATIKANI HIVI HIVI UTWALIWA
..mkuu umetaja kigamboni?? mbona nasikia kizunguzungu?mkuu Luguruni ipo Kibamba kama unaelekea Kibaha. Ni Manispaa ya Kinondoni. Wale mafisadi walivyomaliza kuwadhulumu wazaramo ardhi yao wakapata kiulaini viwanja 20000, ambavyo walijilimbakizia kwa kwenda mbele. Ndipo wakahamia huku kuanzisha kitu wanaita mji wa mfano wa kwanza hapa nchini. Fidia walilipa Shs 300 kwa sq mita wao wanauza shs 30000. Sasa wanehamia kigamboni. Kwembe ni eneo linalopakana na hicho kituo na mbele yake kidogo kitajengwa Chuo Kikuu cha Muhimbili. Ndo mafisadi wote wanataka kujilimikisha eneo hilo. Ishakuwa DECI ingine kwa waliotoa fedha zao